Msituletee utapeli wa kutubebesha marouter mpeni mtu unlimited kwenye simu yake

Kuna tangazo nilisoma maeneo limesema hizo wifi sijui luta, ni bora kuliko vifurushi vya kawaida.
Eti vina kula hela nyingi.
Wanatangaza hivo lakini hawafuti vifurushi vya kawaida!
Nikashangaa, nikasema ina maana wapishi wameleta tembele, wakaweka mezani tule, kisha wakaleta nyama, wakasema "nyama ni bora kuliko tembele" wakati wanasema hivo tembele wameacha mezani badala ya kwenda kumwaga.
Tembele kwa wenye uwezo na Nyama kwa wenye uwezo
 
Kuna tangazo nilisoma maeneo limesema hizo wifi sijui luta, ni bora kuliko vifurushi vya kawaida.
Eti vina kula hela nyingi.
Wanatangaza hivo lakini hawafuti vifurushi vya kawaida!
Nikashangaa, nikasema ina maana wapishi wameleta tembele, wakaweka mezani tule, kisha wakaleta nyama, wakasema "nyama ni bora kuliko tembele" wakati wanasema hivo tembele wameacha mezani badala ya kwenda kumwaga.
Wanaacha vyote kwa sababu watimiaji wana uwezo na maleongo tofauti. Hata sukari ukinunua mfuko bei inaweza kuwa rahisi kulinganisha na mtu aliyenunua nusu kilo. Mwenye duka akikushauri kama una uwezo nuua mfuko ni rahisi zaidi utataka asiwauzie wateja wa nusu kilo?
 
Hii nchi bwana mitandao ya sim kwa sasa kila mtu anauza router wanaita unlimited router lina kilo 3 ukinunua hiyo ndio wanaanza kukuuzia bando kuanzia 70000 kwa mwezi unlimited

Sasa nikawauliza so ninunue huo mzigo niwe naubeba mgongoni mda wote au niwe nauacha sehem moja tu?

Nikawauliza kulikuwa na ugum gani mtu kuwa na bando la unlimited moja kwa moja kwenye sim yake why mlazilmishe kununua hayo makopo

FWA routers zipo designed kwa ajili ya multiple users either kwa nyumbani au kwenye small/medium enterprise space...

Kama unanunua ili uzurure nalo hizo zitakuwa ni shida zako au aliyekufanyia marketing/sales anataka tu numbers...
 
Wewe unaweza ukawa na akili kuwazidi wafanyabiashara wa mitandao??

Hao wanauwezo mkubwa wa kufikiri

Ur too emotional with zero understanding
 
Kuna zile Mi-Fi za Tigo ukitumia chaji inaisha ndani ya saa moja au masaa mawili tu. Ovyo kabisa
 
Hakuna za sim nimewapigia wamekataa hadi uwe na ule mzigo wa kilo 3
Zipo, hivyo ni vifurushi visivyo rasmi, ongea na watu vizuri.. Pia kuna thread humu inazungumzia kuhusu haya mambo ya Vifurushi.. VIFURUSHI 'VISIVYO RASMI"

Kwenye hii dunia kila kipo mkuu, ni wewe tu na mfumo wako.
 
Hii nchi bwana mitandao ya sim kwa sasa kila mtu anauza router wanaita unlimited router lina kilo 3 ukinunua hiyo ndio wanaanza kukuuzia bando kuanzia 70000 kwa mwezi unlimited

Sasa nikawauliza so ninunue huo mzigo niwe naubeba mgongoni mda wote au niwe nauacha sehem moja tu?

Nikawauliza kulikuwa na ugum gani mtu kuwa na bando la unlimited moja kwa moja kwenye sim yake why mlazilmishe kununua hayo makopo
Kuna line zenye mabando ya unlimited, kuna router ndogo za mfukoni. Hayo ma router makubwa ni kwa ajili ya watu wengi.
 
Nilikuwa na router ya Yas. Nilikuwa nahamisha nikitoka naiweka kwa simu nikirudi home naiweka kwa router. Inapiga mzigo fresh. Ilikuwa ni sim card ya kawaida wakaiwezesha unlimited
 
Hii nchi bwana mitandao ya sim kwa sasa kila mtu anauza router wanaita unlimited router lina kilo 3 ukinunua hiyo ndio wanaanza kukuuzia bando kuanzia 70000 kwa mwezi unlimited

Sasa nikawauliza so ninunue huo mzigo niwe naubeba mgongoni mda wote au niwe nauacha sehem moja tu?

Nikawauliza kulikuwa na ugum gani mtu kuwa na bando la unlimited moja kwa moja kwenye sim yake why mlazilmishe kununua hayo makopo
You are a critical thinker. I love you 😍
 
PAMOJA! 🔥
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom