Msitu wa pande

MUNGU wangu watu wasikae huko, yaani ardhi yote hiyo imejaa damu za watu.Kila siku usiku watakuwa wakisikia sauti za watu walio uwawa zikilia. Ukijenga Uwanja wa mpira timu zetu zitakuwa zinafungwa maana ni laana tupu. Yaani huko labda wajenge Magereza ya watu wanaoshitakiwa kwa mauaji sijui lakini. Ila hakufai kabisa full nuksi.
Usihofu tutafanya maombi kabla.maana ukiendelea kukaa hivi itakuwa janga kwa taifa na laana kwa kizazi kijacho.
 
kwanza ufahamu kuwa ni uwanja wa polisi kuchinjia wanyonge na wanaharakati. Hivyo una hati miliki ya polisi.
 
Back
Top Bottom