dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
insane
Ila hii picha imenijaz mbaya lol nimeiangalia sana nikiitafakari nikabaki kucheka. Kipipi njoo uone msitu wa Pande umefyekwa
Hivi Erickb52 ndio mlinzi wa wehu au??
Halafu hiyo slogan yako ilitamkwa na Kitururu aliyepata kusoma Ilboru?
Teh watu8 kwa taarifa za kule hebu wasiliana na Evelyn Salt au kisukari wanajua yanatojiriKuna nyingine kama hii ameshawahi kuiweka Boflo...ikahamishwa saa hiyo hiyo kwenda Jukwaa lenu la Wakubwa
Huyohuyo mpare anaongea kama hana speed gavana na kwa sasa yupo US....
Ila hii picha imenijaz mbaya lol nimeiangalia sana nikiitafakari nikabaki kucheka. Kipipi njoo uone msitu wa Pande umefyekwa