Mpendwa, kwa kudra za Moula Karim...... nakuhakikishia Qiyamu LayiL 11 matokeo yake utayaona dhahiri !!!
tena hongera in advance....
Allahuma Amin...Aamin. Nakushukuru tena na tena. Hekima yako ni kubwa mno. Mola akujaalie pale linapokupungukia!
Nimekuelewa bwana Kikoozi, ila mbona umri wako ni mdogo sana. Tafadhali usinielewe vibaya ila hiyo tofauti ni kubwa. Nakuombea upate ambae utakuwa umemzidi kidogo jamani, sisi wanawake tunachoka haraka sana na hivyo ni muhim kuoa ambae ni mdogo kwako ili mzeeke wote mkiwa na nguvu.
Nashukuru kwa kuonyesha nia KIkoozi na Mungu akujalie upate mwenza mwema wa nje na ndani ya roho!
Jamani LOFA ndio nini? Hebu niambie vizuri hapo.
Kwa heshima kwanza.... ni Bi.Khadijah !!! (radhi ya Allahu kwake)Aaaah, miaka 30 kwa 33 sio mingi sana GCM_RCM mpe nafas mdau huyo,bi Aisha aliolewa na Mtume,walitofautiana ki umri,,,,,
Aaaah, miaka 30 kwa 33 sio mingi sana GCM_RCM mpe nafas mdau huyo,bi Aisha aliolewa na Mtume,walitofautiana ki umri,,,,,
Kwa heshima kwanza.... ni Bi.Khadijah !!! (radhi ya Allahu kwake)
BarakaAllahu~fikum (God blesses) FYI, bi Khadijah alikuwa ana biashara zake na alikuwa na mtaji wa kutosha... hivyo nawe wa wezaiga na kufuata khatuwa hizo kwani Moula hupenda Wanaume wenye kuoa binti yatima (kuna fadhila maalum) na hupenda Mwanamke atakae mnyanyuwa mwenza kimaendeleo !! (fursa hiyo uwe miongoni mwa changamoto za kidunia) na huko L akhera uwe minna L faizina !! AMINTunashukuru kwa kutukumbusha (Bi.Khadijah !!!, radhi ya Allahu kwake)
Hongera GCM_RCM ubarikiwe kwa kuliweka wazi hili jangaa lilozidi miaka hii ya karibuni ( idadi ya wanawake ni kubwa ) kwa kuhakiki tumeshuhudia matangazo mengi humu....!!
Nakunyanyulia mikono juu kwa kukuombea muradi wako "Allah SubaHana wajaala akujaalie mume mwema na kizazi muruwa"
Allahuma Ameen.
Ndo la kuomba hilo.... na kila mwenye haja ya mke/mume afanikiwe haraka!! AMINAaaaaamin aaamin Allah amjaalie dada yetu apate aliye na kheri na yeye
In-Shaa-Allah hata akitaka mume Mwaarabu ntamtafutia ilimradi atimize ndoto na pendo la uhai wake, Japo kaibaguwa rangi.....Aaaaaamin aaamin Allah amjaalie dada yetu apate aliye na kheri na yeye
In shaa Allah.......In-Shaa-Allah hata akitaka mume Mwaarabu ntamtafutia ilimradi atimize ndoto na pendo la uhai wake, Japo kaibaguwa rangi.....
Lakini atapata hivi karibuni, kuna dozi nimempa (Qiyamu LyL
GCM_RCM ukifikia uamuzi usisite kunishauri..
mh! haya ndugu nimekuelewa. Nashukuru kwa muda na ushauri wako.
kama kweli uko serious njoo inbox tukubaliane na kufahamiana zaidi...inshaallahEeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!!
Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote.
Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa ni ya kushangaza kwa wengi pale mwanamke anapojitokeza na kuamua kutafuta mume maana haiendani na tamaduni zetu, naomba mtambue kwamba yamenifika shingoni na naona naumia moyoni kwa kusubiri hilo litokee, kwani muda unaenda na natamani hasa kuwa na mwenzangu katika dunia ya mahusiano. Naamini Mungu atanisaidia katika hili. Basi naomba kwa atakae kuwa na nia njema ajitokeze ili nami niweze kufarijika. Sifa zangu ni kama zifuatavyo;
Jinsia: KIKE
Umri:33
Elim: Degree
Kipato: Muajiriwa
Rangi:Mng'avu ila sio mweupe
Umbo: Mwembamba
Kimo: ~160cm
Dini: Islam
Sifa za mwenza
Umri:35-45
Elim: Yeyote tu ila angalau form six
Kipato: Sio lazima muajiriwa ila ni uhakika tu wa kusaidiana kutunza familia
Rangi:yeyote
Umbo: Awe wa kawaida ile sio mnene sana
Kimo: chochote tu
Dini: Islam
Kwa mawasiliano tafadhali naomba tutumie Private message (PM) au email: gcmrcm2011@gmail.com.
Natanguliza shukran zangu za dhati na nipo tayari kwa maswali yenu.
Karibuni waungwana.
Asante nawe.ahsante sana mtotoo. Ubarikiwe nawe kwa kutoa heri!
Tubarikwe sote bibie kwani lengo ni kuyafanya maisha yawe mepesi....Eiyer; nimependa ushauri wako sana, nahakikisha nitaufanyia kazi bila mapungufu. Mungu akubariki sana.
LWITIKO LWITIKO ndugu yangu, hapo kwenye shule hapana shida naweza kuwa hata na wa kidato cha nne. Ila sas hapo kwenye dini, yani hapo ni pagumu sana kwangu. Kwa upande wangu dini ni kitu muhim sana maan kitatuunganisha kiroho na kimwili pia. Hata malezi kwa watoto huwa ni rahisi sana maana hawasumbuki kuamua wapi waende hasa katik umri wao mdogo. Ukweli hili la dini kwangu linakipaumbele sana na namuomba sana Mungu anisimamie kwa hili!
Ubarikiwe sana kwa mchango wako LWITIKO LWITIKO