Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,180
Reaction score
6,212
Ukiwa na integrated refinery unakua umeua ndege watatu kwa jiwe moja
nikimaanisha natural gas refining, crude oil refining, na petrochemical plant zinaweza kuwa sehemu moja na wako ambao wameshafanya hivyo kama gujarat refining India na dangote refining nigeria
 
Tukiwa na petrochemical bidhaa zote za plastic zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania mfano cover la simu unayotumia linatoka china ila tukiwa na kiwanda cha petrochemical hapa Tanzania litakuwa linatengenezewa hapa
#integrated refinery in umuhimu mkubwa sana#
 
Back
Top Bottom