Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,256
Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!

Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
 
Tunatumia kutongoza wanawake
 
Ni changamoto kubwa sana, inategemea na mahala ulipo, mazingira lakini kwa ujumla mazingira yanatulazimisha kuingia pasipo faa

wewe uko wapi ?
 
Mda hatuupotezi mkuu,mda Ni Mali
 

Tunaingiza pesa kwenye mitkasi zetu ili vizazi vyetu vije kutawala vizazi vya wavivu baadaye...
 
muda unahitaji kupoteza ni saa ngapi hadi saa ngapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…