Msioijua, hii ndiyo CHADEMA

Msioijua, hii ndiyo CHADEMA

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,382
Mwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.

Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.

CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.

Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
 
Uko sawa chadema si viongoz tunaowaona ila chadema ni watanganyika tn wabangaizaji tu ambao mkapa aliwaita malofa hao ndo chadema na hili linawatesa sn ccm maana wanawahonga viongoz wa chadema kuhamia ccm halafu knaibuka kchwa kngne htr kuliko kilichotoka.
 
Chadema ipi unayoiongelea? Hii hii ya bawacha, bavicha na bazecha?
Kazi kweli kweli
 
Mwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.

Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.

CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.

Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
Umemaliza kazi. Kazi yako haina makosa!
Uko sawa chadema si viongoz tunaowaona ila chadema ni watanganyika tn wabangaizaji tu ambao mkapa aliwaita malofa hao ndo chadema na hili linawatesa sn ccm maana wanawahonga viongoz wa chadema kuhamia ccm halafu knaibuka kchwa kngne htr kuliko kilichotoka.
CHADEMA NI IMANI
 
CHADEMA MAFALA TU . CHEKINI MLIVYOIHARIBU NCHI KWA MIHEMKO NA MATUSI YENU . VIJANA WENU WOTE MIDOMO YAO MICHAFU.
downloadfile-17.jpg
downloadfile-3.png
20250722_160219.jpg
20250719_192454.jpg
20250524_222118.jpg
 
Mwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.

Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.

CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.

Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
Ccm akitoka Kabudi anaingia Baba Levo
 
Sasa mambo ya kjjn wewe yanakuhusu nn, ndo maana wafuasi wa chadema mnaonekana punguani
Kwa ivo Tanzania hakuna vijiji? Wale mliokuwa mnawasomba kama ng'ombe kwenye malori wakati wa Kampeni kwani wanaishi wapi?
 
Mkuu unajua unachokiandika lakini au na ww unavyuma kwenye ubongo nin,
Nyie michadema sijui mna laana nadhani hayo matusi mnayotukana watu ..mmeshaanza kulogwa
 
Kama kungekuwa na uchawi wale waliofanya yale mauaji ya 29Oktoba leo hii wangekuwa wameshalogwa!
 
Back
Top Bottom