MAJANGAMAJANGA
Senior Member
- Feb 13, 2013
- 179
- 93
Wakuu nina black berry bold 9900 haitaki kuunga na internet kila nikifungua inaniambia "unable to connect to the internet" nifanyeje
Wakuu nina black berry bold 9900 haitaki kuunga na internet kila nikifungua inaniambia "unable to connect to the internet" nifanyeje
angalia setting kama zipo ok pia kumbuka blackberry ni lazim ununue kifurushi cha blackberry ndo iunge kwenye net
Me na2mia airtel kwani airtel nao wanavifurushi vya blackberry kama voda