Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
Samahani lakini Eti ni kweli chanzo cha fujo Bungeni ni wingi wa vijana bungeni. NaomBeni msinitukane nimeisikia hii hoja sehemu
unaogopa kutukanwa?Samahani lakini Eti ni kweli chanzo cha fujo Bungeni (na/ni) wingi wa vijana bungeni. NaomBeni msinitukane nimeisikia hii hoja sehemu
Sijaelewa...edit swali lako kwanza
unaogopa kutukanwa?
kina MwiguluNaogopa mwenZangu cjui ntaitwa nani vile
Naogopa mwenZangu cjui ntaitwa nani vile
Samahani lakini Eti ni kweli chanzo cha fujo Bungeni ni wingi wa vijana bungeni. NaomBeni msinitukane nimeisikia hii hoja sehemu
Huku ni stress free zone, ungeuliza kule kwingine ungeshapata jibu faster. . Erickb52 niambie...