Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,503
- 145,905
na kiuno chenyewe kanitegua Mama Ashrat for your sad information,hayo maujanja sijui kayapata wapi.
Kweli umefulia! Yaani unajitambia makombo ya Ba. Ashrat hadharani namna hii?
You are a dead man walking
konnie,ujue mwenzio bado mdogo!
Bishanga nitake radhi....Sina ushindani na Arushaone na ArushaOne mwenyewe anajua mi nani so hawezi kujiingiza kwenye anga zangu hovyohovyo.....Mi niko najaribu kufikiria Mr Rocky nimfanyaje coz ndio kidogo ananiumiza kichwa na majungu yake ila poa tu dawa yake ipohuna lolote wewe,ulindwe wewe,ungelindwa Amyner angekuacha ndani akaenda kwa .arushaone?
rabekha mume wangu!
Jamani nawatafuta cacico, Yummy na BADILI TABIA.
Kuna maamuzi magumu nataka kuyafanya, nahitaji ushauri wao.
Mkiwaona waambieni wanidipu ili niwapigie
Jambo Nyani Ngabu! Missing you man! Bishanga ndio amekuwa hivo nowadays he's just a walking corpse.
Kwi kwi kwi ongea taratibu wabaya wetu wasisikie.
By the way jioni twenzetu ben mkapa tukajichane ambassador plaza.