Maria Nyamhanga
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 130
- 25
Kwa ufundi,cement,mawe nk....sina uhakika vizuri,lakini raha ya ujenzi ni kuanza,ukishaanza utaona nyumba inanyanyuka tu,ata Kama una uwezo wa ku nunua mifuko kumi ya cement we anza tu Mjomba ,husisubiri mirioni nyingi ndio uanze.
Mtafute fundi m-discuss labour charge na ramani,then hapo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupiga mahesabu vizuriNaomba msaada kwa wataalam na wenyeuzoefu.. ninakiwanja mkoa wa mara, nimedunduliza vipesa vyangu kiasi cha milioni 4. Je naweza jenga msingi imara wa vyumba vitatu self contained?
unaweza. Nakuhakikishia kwa asilimia 100. Pata fundi mzuri mwambie akupigie hesabu. Akikupigia lete hapa hesabu zake tuzifanyie vetting.
unaweza. Nakuhakikishia kwa asilimia 100. Pata fundi mzuri mwambie akupigie hesabu. Akikupigia lete hapa hesabu zake tuzifanyie vetting.
samahani na bado anataka mifuko 8nya kutengenezea zege la foundation na nondo kama 16 za milimita 12 na vitu vingine nitakumbuka baadaye. Je ni sahihi kwa kukamilisha msingi huo?
Asante kwa msaada
hayo mahesabu ni sahihi. Hata hivyo endelea kusimamia closely.
Hongera sana na kila la heri katika ujenzi...
asante kunijibu. Hata mimi nimesita na hesabu hiyo. Je unaona kaniibia au siyo?
Asante kwa sasa nimesimama mpaka mwenyewe niwepo ndio atafanya kazi
nimesita sana mifuko 19 imekwenda kwenye msingi na haujakwisha? Jamani nyumba si ya kitajiri hiyo?
Nashukuru mkuu kwa mchanganuo...ufundi =500,000/=, kokoto lori 2= 300,000/-; cementi mifuko 20 =280,000/- tofali 1000= 1300,000/= kuchimba msingi= 100,000/=;Mchanga lori 2=80000/= Misc exp 300,000/= Total = ?????? Anza kama unayo hiyo pesa
Kwa mkoa wa mara huko msingi tunatumia mawe ambayo kupatikana ni rahisi sana tena unakuwa msingi imara wa karne nzima bila mpasuko..hapo kusanya vifaa uanze kiongozi huna haja ya kusita....hatua moja mbeelee mwaka si unaona unaanza kukatika slowly..KIMBIZAAA.