Msingi wa hoja za Lissu ni kero za wananchi, zinalipa

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,829
Lissu katua nchini leo. Leo hii hii kauwasha moto. Ujumbe utakuwa umewafikia:

"Kero za wananchi."

Bei za vitu vikiwamo vyakula ni kero kubwa. Wenye dhamana na maslahi ya watu hawana habari. Wao wako kwenye kudai kodi na tozo zaidi.

FnUtWTrXEAUomR0.jpeg

Mlamba asali gani ameweza kuyaongelea magumu haya ya watu?

Ni chawa gani anauthubutu wa kuyaongelea haya?

Yapo mengi.

Go Lissu go. Mwendo mdundo.

Ulipo tupo!
 
Lissu katua nchini leo. Leo hii hii kauwasha moto. Ujumbe utakuwa umewafikia:

"Kero za wananchi."

Bei za vitu vikiwamo vyakula ni kero kubwa kwa wananchi. Wenye dhamana na maslahi hawana habari. Wao wako kwenye kudai Kodi zaidi.

Wale chawa wa mama huu ndio muda sahihi na mwafaka wa kujibu hoja
 
Lissu katua nchini leo. Leo hii hii kauwasha moto. Ujumbe utakuwa umewafikia:

"Kero za wananchi."

Bei za vitu vikiwamo vyakula ni kero kubwa kwa wananchi. Wenye dhamana na maslahi hawana habari. Wao wako kwenye kudai Kodi zaidi.

Mlamba asali gani ameweza kuyaongelea magumu haya ya watu?

Ni chawa gani anauthubutu wa kuyaongelea haya?

Yapo mengi.

Go Lissu go. Mwendo mdundo.

Ulipo tupo!
Alipo nipo
 
Nyie endeleeni mdanganya tu maana uhalisia wa Tanzania , vijana Sasa hawadanganywi washaona sinema za kina mdee na wenzake nani unazani anakubali drama za ajabu ajabu
 
Lissu katua nchini leo. Leo hii hii kauwasha moto. Ujumbe utakuwa umewafikia:

"Kero za wananchi."

Bei za vitu vikiwamo vyakula ni kero kubwa kwa wananchi. Wenye dhamana na maslahi hawana habari. Wao wako kwenye kudai Kodi zaidi.

Mlamba asali gani ameweza kuyaongelea magumu haya ya watu?

Ni chawa gani anauthubutu wa kuyaongelea haya?

Yapo mengi.

Go Lissu go. Mwendo mdundo.

Ulipo tupo!
Namuunga mkono Lisu
 
Back
Top Bottom