Msimu wetu wa baridi jijini mbeya.

Msimu wetu wa baridi jijini mbeya.

Nilipokuja mbeya kwa mala ya kwanza kipindi kk hiki nilijifanya kupoza mwenyewe Maji ya kuoga ile kutia mkono nikajua Maji yamepoa nikaenda kuoga, baada ya siku tatu mwili wote ngozi imebabuka kumbe Maji hayakupoa yalikuwa ya moto sikuyasikia sababu ya baridi.

Shikamoo Mbeya mitaa ya Isanga pale karibu na mlima kabisa
Mkuu kwa hiyo umekuwa na rangi ya jeshi, pole sana.
 
Tulioko nyanda za juu kusini tukutane,katika adha hii kubwa na ya mateso kiasi fulani kwani ndani ya mwezi huu wa sita mpka mwezi wa nane mwishoni ni miezi ya kupigwa baraidi la vichomi na vumbi la kutosha haswa hapa mbeya,


ratiba za usafi haswa wa mwili hupungua kutokana na watu kuyakimbia mabafu na kuongeza wingi wa paspot size majumbani mwao,hii ni bugudha kuu ya miezi hii katika jiji la mbeya,vumbi ni muda wote ukitembea umbali fulani tu unageuka kitutoka mithili ya fukufuku...


Shida nyingine ni mahala unapolala miezi hii kama huna blanketi asee utaipandika fureshi lazima ujibinjue na kujikuta pamekucha kwani baridi inakushugulikia vizuri kwelikweli,...tuongezee shuruba nyinginezo wana jf za huu mwezi wa barid kwa apa mbeya......
Aisee umejuaje!! Mapumziko ya pili hapa baridi imekolea.. Mtu natamani aibuke mtoto mkali wa jf aje aninyweshe chai labda itasaidia kupoza baridi.
Jamani msiwe wachoyo.
 
Jana usiku ilikuwa 12°C
Screenshot_20190605-214311_Weather.jpeg
 
Back
Top Bottom