hahahahaha!!Hata mm nipo single ila najifarij tu hakuna namna
Kwa hiyo we hujawahi kufanya yale mambo yetu siku ya wapendanao??Hii siku sijawahi isherekea sijui kwann?
Will you be my Valentine!!Wanye wapenzi ya msimu zamu yao imefika.
Si mimi nipo auWenye mapenzi yenu. Kina sie tunaendelea kubaki wapenzi watazamaji.
Ndio mpenziSi mimi nipo au
Mpaka uwe mod ivi ivi huweziNajisikia furaha kuwa front page
Bas sawa nategemea nikuone ndani ya diraa reef la dam ya mzeeNdio mpenzi
Dira tunaenda kwenye kisomo wapi? Niache kuvaa kimitego bby nkuvalie dera?Bas sawa nategemea nikuone ndani ya diraa reef la dam ya mzee
Mimi nategeka kwa dira tu mpenz wala usivunje sandukuDira tunaenda kwenye kisomo wapi? Niache kuvaa kimitego bby nkuvalie dera?