Msimu wa mapenzi mubashara: Valentine's Quotes

Kama nawaona vidume vinavyotoka jasho vikiskia Valentine. Tarehe zenyewe sizooo na madem wenyewe hamna mwenye mmoja. Basi kazi ipo.😛😛

Hapo wanapewa maneno matamu walainike warudi japo na chocolate na maua vibinti vipate kujiselfie waonekane nao wanapendwa.😛😛

Sijui watafanikiwa.😀😀
 
Utaniharibia mama. Mie nataka mmoja japo mmoja mwenyewe rafiki ako ila yuko mbali nataka mwingine wa kudanganyana nae siku hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom