Msimu wa kuoa umewadia changamkeni jamani

Msimu wa kuoa umewadia changamkeni jamani

Kwa hiyo kama Ramadhani haijawadia huwa wanatenda dhambi, utajuta wakikujua! Keep anonymity!

Mkuu usinininukuu vibaya na maanisha kupunguza vishawishi ndo maana wanaoa mimi nimesikia kwa mtu hapa napo ishi
 
hahahaaaaa... kweli msimu umewadia.. namuona waidah full hijabu.
 
kitimoto hakiuziki, bia hazinyweki....mpaka ramadhani iishe! walaji na wanywaji wapo bize na Allah!
 
shangingi flani kitaani, yeye ni mwendo wa mini skirts na kanga moja.. sasa naona kabadiliki kawa 100% decent

Mbona kama namjua, npm ni kitaa gani vileee? ukute jirani yangu wewe..
 
Back
Top Bottom