Msimu huo umeanza

Msimu huo umeanza

Yani nimecheka kusikia ram anakaa kayenze..
 
Last edited by a moderator:
Si unajua huku soon patakuwa mji wa kisasa, halmashauri ya ilemela huku ndio patakuwa town Honey Faith, sema nikutafutie shamba tu huku mamii

Hebu nitafutie mumie nije kujenga huko kwa waarabu weusi
 
Last edited by a moderator:
TsssSssssssssss......mate yamejaa
 
Bravo Mtanzania,

Mzee heshima mbele, nilikuwa pembeni kidogo, lakini I am with you bro hatutaki unafiiki wa kununua busara za spika, Takuru na Richomnd, na sasa haya ya Zitto na Amina Chifupa, eti ulikuwa ni uroda na sasa eti Zitto aseme nini maana yalishasemwa,

yaani pure NONESENSE!, Bravo Pinokyo, na Mtanzania, heshima ya forum mbele kwanza, na hii forum ni kubwa kuliko mtu yoyote hapa hatuogopi mtu hapa, na huu unafiki ndio ule ule wa Richmond, na Radar,

Froum kwanza halafu wananchama baadaye!

Mimi na kaka yako hatutokaa tukanyage kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom