Tunaongelea mwana siasa anaekubalika ndani na nje ya chadema. Na hizo ndi sifa za Urais, kwani ukisha kuwa Rais, wewe sio tena kwa ajili ya chadema au CCM tu, ushindi au ushindwa wako utawagusa wote. Chukulia mfano wa Urais kwa mwana siasa ni kama kuingia timu ya Taifa. Usitake kunambia kwa kuwa mimi Simba basi goli likifungwa na mchezaji wa Yanga nisishangilie.
Uwepo wa Rais mzuri anaekubalika na wote utategemea kura za wengi wasio wa chama cha mgombea pekee, kuna wengi hawana vyama na hutazama mtu wanaemuona anawafaa, sio chama.
basi tuachie sisi wanachama ndo tutakao-amua, we shabik baki wa zitto subir maamuz ya wenye chama, usiendeshwe na ushabik usio na tija, kila kitu kina utaratibu wake, hata sis chadema tuna utaratibu wetu wa kumpata mgombea urais, hatuongozw na mashabik wa wanasiasa fulan, tunaongozwa na katiba yetu!
Umetumwa na zitto?...unalipwa sh ngapi mwenzako ni
usalama wa taifa unajua?......zitto kwanza sio chadema, unajua chama cha zitto kilicho kwenye damu ni kipi?.........unachezea zitto weye mwenzako yuko chadema robo ya ccm robo tatu unajua yote haya?...nikupe ushahidi?.....kwa taarifa yako hatumtaki zitto hata kidogo hebu mshauri aondoke uone....mbona kaahidiwa vyeo vingi tu na kikwete mbona hajaenda?...anajua akienda ndo atakuwa kapoteza na kapotea pi. Usijifanye wewe ni msemaji wa zitto yeye anjua akifanyacho kuliko wewe mganga njaa tu
Toka zako, huna mpya. Zitto kama alivyo Shibuda ni mapandikizi ndani ya CDM, tofauti yao Zitto kasoma hivyo anafanya mambo yake ya kuhujumu CDM kisomi tofauti na kapuku Shibuda ambaye akiagizwa kitu anakurupuka tu huku kabana pua ili kujifanya mtu wa pwani, shame!! Kumbe inawauna Zitto kuenguliwa vikao muhimu vya maamuzi vya chama hivyo kukosa uzandiki wa kuwaletea. Huyo kishashitukiwa hana chake CDM, tamaa zinamponza.
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.
Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.
Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.
Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.
Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.
Bassaleh atupe darsa la uamsho tuchome makanisa na kupinga MoU japo sisi ndio tunaoongoza kwa kujifungulia Muheza Teule kwa kuwa tunazaa kila mwaka, uongo?
Enhee halafu nimekumbuka. Vipi ule mpango wetu wa kususia Sensa? Mimi nina usongo kweli wa kususa manake hatujafanya jambo la kijinga kitambo kweli.
Halafu nashauri tui-HACK Tanzania - Country Information manake inapotosha UMM'A. Inasema Vatican wapo 33% sisi (wanauamsho) ni 35% na makafir wengine ukiwajumlisha ni kama 13% hivi na waliobakia ni Wahindi na Masai. Sasa kwa nini hawakujumlisha za mapagani kwetu ili tuwe sawa kidini?
Mimi naona ule mpango wa kususia sensa uendelee
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.
Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.
Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.
Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.
Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.
huzi hoja za zitto zinakela, hivi zito hawezi kuwa mwanachama wa cdm tu, mpaka uwe mwenyekiti?.. nadhani kwa nguvu hizo naona kuna haja ya kuhakikisha hatakishika cheo hicho ndani ya cdm, maana sasa naweza anza kuamini kuwa anaweza akawa msaliti kama rais wa mwisho wa iliyokuwa USSR
Hiyo ina maana wanaomkubali Zitto lakini si wanachama wa chadema, ambao ni wengi sana, mimi mmoja wao.
Zitto Zuberi Kabwe for President 2015.
I thought my Swahili is naturally excellent ....anyway, as I graduate English I'll think to consider your advise and possibly take a polish Class for my Swahili
Though I am neither a member nor a fan of CHADEMA but I am suddenly a fan of Zitto Kabwe, if he runs for president and I am still alive, count my vote for him, if he continues the way he is now.
Zoba you continue proving that you're a very GAMBA at work!
If at all there will be a dependant or private candidate and Zitto register himself as one then you gonna vote for him! But not through CHADEMA. Zitto is too young to compete for a presidential post. CHADEMA and majority of Tanzanians knows how CCM are maneuvering to fool and cheat CHADEMA prominent politicians to distabilize CHADEMA. We know.
Let me warn CCM party that every move of you is being watched. Be informed that any slight foolish mistake to fool around with CHADEMA you gonna suffer the consequences.
Kuna kitu kitafumuka CDM mpaka mtashangaa,
CHADEMA lazima ife kabla ya mwaka 2015.
zomba,
Did you count me in your generalized statement? Mine is "NO" guaranteed if Zitto stands for Presidential Candidate under CDM.