kenethedmund
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 347
- 89
Ndugu unamatatizo sana tena makubwa kuliko hata huyo unae mlamba miguu!
Unahaki ya kutoa maoni lakini huna haki ya kuwapangia cha kufanya wanachadema (watanzania)
Kama Zitto anafaa chama ndicho kitaamua na watanzania watamuunga mkono! Lakini akijiona yeye anafaa ilihali chama kinaona hafai kwa mujibu wa taratibu za chama, basi milango iwazi kwake kwenda CHAMA chochote anachoona kitamfaa na kumuidhinisha kuwa mgombea!
Mimi binafsi narudia tena japo nilishasema katika makala zangu kuwa ZITTO KABWE kwa sasa hafai kuwa rais wa Tanzania labda huko mbeleni 2030 huko!
Hili ni kwasababu ya ideology yake kisiasa na kitabia!
Nakushauri ndugu mpambe, umshauri huyo Zitto wako atumie mda mwingi kujifunza siasa za tanzania aache siasa za kukopi na kupesti toka CDU Ujerumani! Chadema pamoja na kuzikubali siasa za CDU lakini huzichambua zile zinazoendana na jiografia ya nchi yetu!
Ni hayo tu ndugu mtumiwaji!
Ni
Mimi muamini wa mang'amuzi huru
Yericko Nyerere
Mpo wangapi? Maana unazungumzia kundi la watu, kama unauhakika wa cdm kuwepo au kutokuwepo kwaajili ya uwepo wa kundi lako/lenu kwanini basi usi/msi-anzishe m4c ndani ya cdm hatimaye wale wanaofaa kuwa viongozi washike madaraka? Kalaghabaho..
Wewe jaribu kufikiri basi yaani unataka Zitto alazimishwe kuhudhuria mikutano ya chama kama yeye hataki, huyo zitto wako wakati watu wako kwenye kampeni za uchaguzi wa Arumeru yeye anasema atagombea urais 2015 tumueleweje. alafu na safari za rais ambazo sio rasmi anazokwenda zinatuweka katika wakati mgumu.
ki ukweli tangu zitto aingie kwenye kamati ya madini amebadilika.
shehe yahya amekuachia weweKuna kitu kitafumuka CDM mpaka mtashangaa,
CHADEMA lazima ife kabla ya mwaka 2015.
Huo mfano ni relevant kwa mada iliyopo kwani mleta mada mwenyewe amesukumwa na udini kuanzisha huu uzi hivyo sioni cha maana zaidi ya kujibiwa kwa mifano hiyo.
Hakuna niliposema hayo maneno. Rudia post yangu usitie maneno yako kinywani mwangu.
Ni kweli mkuu, ila adui yako namba moja akikwambia fanya hivi ili tupigane vita basi jua KUNA TATIZO HAPO
Mfano wako umekwenda out of context.... sijawahi sikia Ferguson akimwambia Daglish namna ya kuchezesha midfield yake against Manuted
Kwani hii ina tafsiri gani? Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi
Kwani yote yanayosemwa humu wanayasema wenyewe? Haya ni yangu mimi, si ya mwengine. Nna kila sababu za kuchambuwa wana siasa kadri ya uwezo wangu.
Huna uwezo wa kuchambua wana siasa wewe, wewe ni mchumia tumbo tu unalishwa maneno ya umbea umbea na ya kuunga unga vitu unavileta hapa kwa kudhani zito ni kiraza kama ninyi kufanya kazi kwa fitina fitina za ki magamba.
Though I am neither a member nor a fan of CHADEMA but I am suddenly a fan of Zitto Kabwe, if he runs for president and I am still alive, count my vote for him, if he continues the way he is now.
Bassaleh atupe darsa la uamsho tuchome makanisa na kupinga MoU japo sisi ndio tunaoongoza kwa kujifungulia Muheza Teule kwa kuwa tunazaa kila mwaka, uongo?
Enhee halafu nimekumbuka. Vipi ule mpango wetu wa kususia Sensa? Mimi nina usongo kweli wa kususa manake hatujafanya jambo la kijinga kitambo kweli.
Halafu nashauri tui-HACK Tanzania - Country Information manake inapotosha UMM'A. Inasema Vatican wapo 33% sisi (wanauamsho) ni 35% na makafir wengine ukiwajumlisha ni kama 13% hivi na waliobakia ni Wahindi na Masai. Sasa kwa nini hawakujumlisha za mapagani kwetu ili tuwe sawa kidini?
Mimi naona ule mpango wa kususia sensa uendelee