Msimjaribu Zitto, mtaumia!

Zomba,

Be fair to OTHERS and give a stand of your own not the general public. See your ambiguous and contradicting statements below!

.....
Tunawaasa vigogo wa CHADEMA .......

..Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.

.....Haya ni yangu mimi, si ya mwengine. Nna kila sababu za kuchambuwa wana siasa kadri ya uwezo wangu.
 
Premises na conclusion weka wewe. Message delivered!

Nasikia Gamba Kuu Chenge limeukwaa Uenyekeiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mambo ya Ngawira ha ha ha haaa. Kweli CCM na Magamba damdam
 
Aungurumapo Lowasa Mcheza nani?

Jakaya anasafisha Nyota kwa Zitto ha ha haaaaa. Magamba mnapenda kumfatilia sana huyu dogo. Juzi alikuwa Marekani akawananga mkakimbilia kumjibu Kitooooooooooooto

Ulikuwa unajuwa kuwa Zitto alipokuwepo huko na Jakaya alikuwepo?
 
Kwani yote yanayosemwa humu wanayasema wenyewe? Haya ni yangu mimi, si ya mwengine. Nna kila sababu za kuchambuwa wana siasa kadri ya uwezo wangu.

Kama uwezo wako umeishia hapo basi uko shallow kwenye siasa...rudi darasani
 
Ulikuwa unajuwa kuwa Zitto alipokuwepo huko na Jakaya alikuwepo?

Ha ha ha tunajua JK ni Bingwa wa Kusafiria Nyota za Watu. Naona alikuwa anaiwinda Nyota ya Zitto akakuta wazee wa Kigoma wamekaa vizuri ha ha haa

CCM na Magamba Dam Dam, Chenge aukwaa Uenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Ngawira
 
Nasikia Gamba Kuu Chenge limeukwaa Uenyekeiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mambo ya Ngawira ha ha ha haaa. Kweli CCM na Magamba damdam

Mambo ya fedha lazima umpe mwenye fedha kuyatazama, unataka apewe Mnyika? hata vijisenti hana.
 
Though I am neither a member nor a fan of CHADEMA but I am suddenly a fan of Zitto Kabwe, if he runs for president and I am still alive, count my vote for him, if he continues the way he is now.

Mwana uamsho Zoba umeulizwa ikiwa CCM watamsimamisha Sheikh Bassaleh na CDM Zitto Kabwe utamchagua nani? Au swali gumu?
 
Ha ha ha tunajua JK ni Bingwa wa Kusafiria Nyota za Watu. Naona alikuwa anaiwinda Nyota ya Zitto akakuta wazee wa Kigoma wamekaa vizuri ha ha haa

CCM na Magamba Dam Dam, Chenge aukwaa Uenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Ngawira

Anamalizia ngwe yake ya pili, au hujui hilo?
 
Ushauri mzuri sana, ila mtoa ushauri ni gamba.... something fishy going on
 
Mambo ya fedha lazima umpe mwenye fedha kuyatazama, unataka apewe Mnyika? hata vijisenti hana.

Na tutawavua sana Magamba! Tuko Kusini tunamalizia taratibu za Maziko ya CCM, Baada ya Mwili wa Marehemu CCM kupewa heshima za Mwisho huku kusini Tutaenda Kuuzika kwa Heshima Zote Tanga tukiongozwa na Kamanda Zitto Zuberi Kabwe
 
Ushauri mzuri sana, ila mtoa ushauri ni gamba.... something fishy going on

Siku zote ukitaka ushauri usiupokee kutoka jikoni. Tafuta mtu ambae hajaona chakula kimepikwaje. Ndio maana wapishi huwauliza walaji, vipi chakula kiko sawa?
 
Siku zote ukitaka ushauri usiupokee kutoka jikoni. Tafuta mtu ambae hajaona chakula kimepikwaje. Ndio maana wapishi huwauliza walaji, vipi chakula kiko sawa?

Huna Lolote wewe Gamba Kuu na TUTAKUVUA hilo GAMBA lako
 
sasa kama hampigii kura chadema bali zitto kwanni usianzishe chama chenu mumweke humo mumpe mavyeo yote?? shenzzigwa we
 
Hadithi za kusadikika hizi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Zitto ni kiboko namkubali sana............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…