Msimamo wangu

Msimamo wangu

MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joint a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password simpi, bora nimpe Mama yangu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa yake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA
Kwenye umri wa 20 to 30years haya maneno ya kwaida ...menopose ikikaribia yote hayo yanakuwa kinyume chake
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joint a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password simpi, bora nimpe Mama yangu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa yake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA
Natamani mke kama wewe aisee,kila mtu angekuww na vitu vyake, siku tukizinguana kilq mtu anaelekea uelekeo wake ndo kubanana. Pia ningekuwa huru kuoa nitakavyo maana wewe unapenda mfumo dume, ningekuwa nagonga hadi beki 30, wadogo zako,nakazalika
 
Kila mtu awe na vitu vyake kivipi sasa wakati vyako vyetu?
 
Unadhan hata huyo mume una uwezo wa kumpata basi? Hela hauna, sura hauna, nani anataka zigo hilo?
 
Aiseee
Kwahiyo mkuu hapa niandike tu maumivu si eti? Au niendelee tu kujifariji?
 
Kumbe msiamo tu!!!

2014-2019 unatekeleza huo msimamo wako kwenye hiyo ndoa yako ?
 
Back
Top Bottom