vingine upo sahihi ila vingine impossible kw wanaume mf
swala la mali iwe na jina lalko na mumewe au watt hapo cwa maan kuna ndg washenzi cna km jamaa akifa
lakini hii ya chache changu changu changu hii haiwezekani asee.
swala mtu kuw bahil kwl hili sio powa mbaya zaidi km anahonga kwingine
hayo ni baadhi tuu
Unajua kuchabangwa mapanga lkn?
msimamo wako upande mwingine nimeupenda.wanawake dizain yako ni bahat cna kuwapata yaan km ilivo kupata kaz TRA
nahc utakuwa mchaga ww tena wamachame au uru
Kwahiyo yo ready for everything?
MSIMAMO WANGU
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.
so wanaume wote utawazalia kwa uchungu?
5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.
6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.
muungano wa aina gani sasa huu..., kwani ye hana mama?
7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.
hapa we uko wap sasa? nje au ndani
8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.
huu utakuwa muungano wa mkataba
9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.
na wa mke pia
NIMEMALIZA
Ngoja nilamuulize mkurya wangu if he is ready to share with you.
MSIMAMO WANGU
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.
5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.
6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.
7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.
8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.
9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.
NIMEMALIZA
Kama utatekeleza hayo 8 ya mwanzo then utakosa haki ya kusimamia la 9.MSIMAMO WANGU