Msimamo wangu

Of course sijaoa,wamewazoesha wanawake zao vibaya,mshahara wa mke wangu unaweza usitumike ni wake lakini lazima nijue matumizi anafanyaje

Basi tusibishane. Ukiingia utayakuta. Labda ubahatike kumpata mahaba niue asiyejitambua ambae hata hajui kwanini anatafuta pesa.
 
Usijali binti maana imeandikwa ya kuwa Bwana atakupa mke/mme wa kufanana naye
 
wamtenge kwa lipi? kwani niliolewa na mume wangu au ndugu zake?? watafute mali zao

we atoto hayo masharti uliyotoa hayana nafasi ktk mahusiano ya kimapenzi au ndoa bali yanaweza kutumika ktk biashara.
 
Mkuria wako atantokea na panga,,, ww npe2 pc mm ntaifanya cr yetu mm na ww milele

Tangu lini siri ikawa ya wawili? Akuu we nenda ukitolewa na panga ndio urudi upange mkakati mpya, waweza shangaa akakupa tu bila shida
 
Kaka zao wawape siri ya mchezo. Mbona sie tunaishi nao raha mustarehe kwa maisha haya haya? Ila nashangaa huku wanaogooopa!

Yaani waoga hao km wanaoga njia panda, maisha ndio hayahaya uoga wa nn sasa!
 
Nani kakuambia sina pesa,sijaoa na nishafanikiwa,ila kuhusu mke wangu lazima nimfuatilie nataka kujua hela zake si kwamba nazihitaji

Pesa hazimtoshi mtu so endelea kusaka, sasa unaziulizia pesa za mkeo za nn?? Zinakuhusu nn?
 
Wewe hujaoa wewe. Wabaume wenzio wangapi wanakuja huku kulalamika hawajui vipato vya wake zao? Unadhani huwa wanathubutu kuuliza kwa wake zao?
Wanakuja huku ili kutafuta amani, wanapima kama ni wao tu ndio hawajui au kuna wengine?

Yaani mie hapo ndio huwa wananichosha, kutwaa wanalalamika humu ila kwa kujitia ujanja sasa, yaani kila kitu wanajua wao na kila kisichowezekana kwao kinawezekana, ila id zao zile za kapuni ndio wanazolalamika nazo
 

Utaishia kupigwa dudu na kuachwa
 
atoto, vipi haya masharti yamelegezwa au bado yapo "intact"?
 
Last edited by a moderator:
how old r you.
Omba mungu manake unachopanga
mungu hupanga tofauti.
 
we atoto hayo masharti uliyotoa hayana nafasi ktk mahusiano ya kimapenzi au ndoa bali yanaweza kutumika ktk biashara.

Mbona mm kwangu imewezekana? Tunawasaidia inapobidi(ukitoa wazazi) ila sio ndio wajifanye km mali zetu walizichuma wao na ni lazima ziwahusu direct wakati na sisi tuna familia inayohitaji na kudeserve hizo mali.
 
Reactions: RCA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…