the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
usilete maneno mengiii kujitia ujuaji wakat umeelewa kabisaaa, alafu marioo wanaolewa hawaoi, (hutaki unapita vileeee)
Hayo ni maneno vtendo hatujui
ni vitendo tu kwa kwenda mbele
Hakuna tatizonini sasa?
Maneno nimeyapenda
Na mm nimeyapenda,sipendi mwanaume anayelalamika, kukopa kopa pesa, kiukweli hela yangu nayotafuta kwa shida hailiwi na mwanaume eti kisa mpenzi/ Mume nooo..
Mungu atuepushe na wanawake kama hawa.
ninafaidi hatari na pesa ctoi ng'ooo!!