Msimamo wangu

Hahaha nalo jambo! Embu siku na ww zuga hujibu....kama wa ukweli watakubembeleza (ai dada jamani si nakusalimia!) kama ovyo utaishia kupokea matusi tu (uzuri wenyewe uko wp etc). Lol

loooh!!! hao watakuwa wale wa vijiweni sasa, maana hata uwe mzuri vp wakikuita ukachuna bac uzuri wote unapotea yanafuata matusi tu, mie huwa najitahid kuitkia kila salamu maana nicipoitikia nahic yatakayowatoka yatakuwa mengi mno maana hali tete
 
You have been taken for a ride jiniaz wangu.
 
Msimamo safi sana atoto. Kamatia hapo hapo kwani nini bana.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ni wewe!!!niliiona hii kitu insta,kama sikosei we utakua mmachame tu coz ndo zenu.
 
We ni kenge kweli,eti huna huruma na mwanaume.,hata ukimwi hautakua na huruma na wewe,..
 
Ndo maana nilijubaliana na aliyesema wanawake wa kuwaoa ni wa standard 7 au 4m 4
 
Ndo maana nilijubaliana na aliyesema wanawake wa kuwaoa ni wa standard 7 au 4m 4

na kuna mwenzio kule analalama 4m4 kamtenda, hii kitu haina formula cha mcngi tafuta pesa
 
We standard ngapi vile ulinambia ulifel mtihani wa taifa wa darasa la nne!!!!! Jokes

ila niliporudia nilifaulu nikafanikiwa kuhitimu std7 mwaka 1996, ila c unajua tena shule zilikuwa chache nilifaulu ila wakanionea hawakunichagua kuendelea na elimu ya sekondari, soo mie ni std7 nafaa kabisaaa kuwa mke acording to u!
 
Mke mweny itikadi kali ivo unantisha ww mhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…