Msimamo wangu

ha ha ha ha kwa familia za kitz haya hayatawezekana

na kama yakiwezekana bsi mtakuwa familia ya pekee kwa maana ndgu zako hawatakuelewa(selfshness) na mumeo hatafurahia ndoa yake

atafurahi mpaka basi yaani, ni raha tupu, jaribu oune
 

Ulipiga mswaki asubuhi:what:
 
Huyu ana stresss za kufikisha miaka zaidi ya 30 hana mchumba na hajawahi chumbiwa na hata kutokewa hajawahi tokewa so baada ya kukosa kote huko kaona aweke vigezo vyake ambavyo anajua kabisa hata pata mtu.

una akili nyingi wewe jamani, kweli tena ungesoma sn ungekuwa shoe shiner
 
Uzi huu umefika hadi pg 37??? Kweli mada za kipuuzi zinapendwa sana
 
Mwandishi wa habari hii ni mchoyo, pili ni katili (hana huruma), ni mwuaji. Tena yuko kimasilahi. Anayo majeraha fulani ya kimaisha. Hivyo basi hafai kuwa na mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…