Msimamo wangu



whaaat!! sasa mbona tayati 35!! mweee!!
 

Pole saaana dada!
Kwanza inaoneka hujawah enjoy kitu kinaitwa penzi kwan hapo kwenye penz inafika wkt brain inakaa off automatic na unatoa mwenyewe bila shinikizo!
Pili, nnakwambia mwanaadamu mwenye damu na nyama hawezi kuweka kiapo cha mapnz na kika kaa kabisaa!!!!
Nimewaona wengi!!!!
Tafuta na unapopendwa kwani usipopendwa..........................
 
we ATOTO hao wanaume unaokutana nao hawajuwi mahaba.huo msimamo wako utapotea ukikutana na mtundu wa mahaba.nahakika bado ujafaid mapenzi matamu utahonga wewe pesa yako yote
 


sasa mbona mimi nimetoa na kimekaa!! na ninafaidi kweli
 
vp za sasa zime-expire!?!

Atoto labda nikukumbushe pindi unakuwa japo nahakika bado ni mdogo tu anyhow kulingana na wishes zako.

Kipindi cha utotoni kila mtu huwa akiulizwa ynataka kuwa nani baada ya kumaliza shule, wengi hujibu daktari, rubani, mwalim n.k lakin hata mimi binafsi niliyetamani kuwa daktari leo hii nimejikuta mjasiliamali hahahaha, so always nature inatake charge nothing you can do,

Ushauri wangu kwako ni kuachana na misimamo ambayo haina tija kwako na kwa atakae kuoa maana kila mtu angeweka mashart ya namna hiyo basi zaid ya 90% za ndoa zingevunjika including ya wazazi wako, otherwise best of lucky!!!
 
we ATOTO hao wanaume unaokutana nao hawajuwi mahaba.huo msimamo wako utapotea ukikutana na mtundu wa mahaba.nahakika bado ujafaid mapenzi matamu utahonga wewe pesa yako yote


ninafaidi hatari na pesa ctoi ng'ooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…