mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Wewe hata umri wa kupiga kura hujafikisha,kakojoe ulale.Chadema baada ya kuchokwa mmeanza kuogopa Uchaguzi !
Haya Nccr mageuzi wapo tayari kuongoza Wapinzani
Wewe hata umri wa kupiga kura hujafikisha,kakojoe ulale.Chadema baada ya kuchokwa mmeanza kuogopa Uchaguzi !
Haya Nccr mageuzi wapo tayari kuongoza Wapinzani
View attachment 1463194
Huu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe.
Kibaya zaidi serikali ya awamu ya tano imejipambanua kwa vitendo kutokufuata misingi ya kidemokrasia na hata sheria iliyojiwekea. Mnataka wafanye nini ili uamini? Hukushuhudia uchaguzi za mitaa,hushuhudii ukandamizaji wa viongozi wa upinzani?
Hukumsikia muheshimiwa akitamka wazi kuwa haiwezekani mkurugenzi alipwe mshahara,apewe nyumba na gari halafu mpinzani atangazwe mshindi. Kauli hii iliwahi kukanushwa?
Sitapiga kura uchaguzi mkuu
atakaye kwenda kupiga kura ni mwendawazimu ni kupoteza time tu ama labda kama utalipwa vyenginevyo uchaguzi umemaliza zamani linalosubiriwa ni kumtangaza magufuli tu .View attachment 1463194
Huu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe.
Kibaya zaidi serikali ya awamu ya tano imejipambanua kwa vitendo kutokufuata misingi ya kidemokrasia na hata sheria iliyojiwekea. Mnataka wafanye nini ili uamini? Hukushuhudia uchaguzi za mitaa,hushuhudii ukandamizaji wa viongozi wa upinzani?
Hukumsikia muheshimiwa akitamka wazi kuwa haiwezekani mkurugenzi alipwe mshahara,apewe nyumba na gari halafu mpinzani atangazwe mshindi. Kauli hii iliwahi kukanushwa?
Sitapiga kura uchaguzi mkuu
Kura ni siriHuu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe.
Kwa kuonesha hasira zaidi nitaendelea kuwakataa CCM Kwa njia ya kura
Ya pili ingine kura isiyo na thamaniKura moja ya chadema imepotea,
Any way Mimi sijawahi kupiga Kura Wala sitokuja hata iwe hiyo tume huru sijui.
Kura ingine isiyo na thamaniNinao muda wa kupoteza,ila sio kwenda kujifanyia dhihaka.Sipigi kura.
Kura ya nna ya kijingaMe sinaga muda na mambo ya upigaji kura na sitokuwa na muda huo ..bora nishinde shamba nalisha ng’ombe
Chadomo wamepoteza kura ya 5Mimi hata sifuatilii habari za uchaguzi,naapa kutoka sakafu ya koyo wangu katika maisha yangu yote yaliyobakia bila tume huru sitakanyaga kwenye kituo chochote cha kupiga kura!
6Kwenda kupiga kura nchi hii Kwa sasa ni matumizi mabaya ya muda
7Mkuu hata Mimi mara ya Kwanza na ya mwisho kupiga kura ilikuwa 2015.
Hata haya maboresho ya daftari Mimi hata sikujisumbua kwenda maana Sina ratiba ya kupiga kura uchaguzi ujao
8Kupiga kura afrika Ni usaniii
9Naunga mkono hoja. Ndo kusema ,kupiga kura ilihali unamjua mshindi Ni Ujinga. Mimi siji kupiga kura Tena.
10Unapigaje kura kwenye Uchaguzi FAKE!? On October 25 please stay at home. Don’t waste your time on FAKE election.
Halafu baada ya uchaguzi muanze kulia kuwa mumeibiwa kura.
11 still counting.......atakaye kwenda kupiga kura ni mwendawazimu ni kupoteza time tu ama labda kama utalipwa vyenginevyo uchaguzi umemaliza zamani linalosubiriwa ni kumtangaza magufuli tu .