Msimamo wangu: Sitapiga kura Uchaguzi Mkuu

Ccm haihitaji kura kukaa madarakani, inahitaji watu wengi vituoni ili waonekane wamechaguliwa na watu wengi. Watu wakiwa wachache vituoni wangalau itafahamika kuwa hawako madarakani kwa ridhaa ya wananchi wengi.
Noted
 
View attachment 1463194

Huu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe.

Kibaya zaidi serikali ya awamu ya tano imejipambanua kwa vitendo kutokufuata misingi ya kidemokrasia na hata sheria iliyojiwekea. Mnataka wafanye nini ili uamini? Hukushuhudia uchaguzi za mitaa,hushuhudii ukandamizaji wa viongozi wa upinzani?

Hukumsikia muheshimiwa akitamka wazi kuwa haiwezekani mkurugenzi alipwe mshahara,apewe nyumba na gari halafu mpinzani atangazwe mshindi. Kauli hii iliwahi kukanushwa?

Sitapiga kura uchaguzi mkuu
Acha hofu uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi

Uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi.

Ndugu usipoteze haki yako bure
Ccm haitumii vibaya dola kukandamiza wapinzani . Bali inatumia dola kutekeleza ilani ya uchaguzi.
Wanawatumia Pccb kupambana na ufisadi na ubadhirifu ndio maana wanadhibiti rushwa na miradi kibao inafanyika.
Wanatumia Polisi kulinda mali na usalama wa raia ndio maana uhalifu umedhibitiwa.
Hii ni mifano tu kwa hiyo sio kwamba wanakandamiza wapinzani. Nenda kapige kula.
 
View attachment 1463194

Huu ndio msimamo wangu. Sababu ipo wazi kabisa, sioni namna hata dalili kipande kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki.Kama unaiona nionyeshe.

Kibaya zaidi serikali ya awamu ya tano imejipambanua kwa vitendo kutokufuata misingi ya kidemokrasia na hata sheria iliyojiwekea. Mnataka wafanye nini ili uamini? Hukushuhudia uchaguzi za mitaa,hushuhudii ukandamizaji wa viongozi wa upinzani?

Hukumsikia muheshimiwa akitamka wazi kuwa haiwezekani mkurugenzi alipwe mshahara,apewe nyumba na gari halafu mpinzani atangazwe mshindi. Kauli hii iliwahi kukanushwa?

Sitapiga kura uchaguzi mkuu
Kisaikolojia, mtoto akizira kula hupaswi kumbembeleza. Unamwacha. Njaa ikizidi atakula tu mwenyeeeeewe!
 
Hakuna sababu ya kususa kupiga kura wakati sisi bado ni wachanga kwenye mfumo wa demokrasia ndani ya vyama na nje ya vyama.
 
Back
Top Bottom