Msimamo wangu ndani ya Chama

Hatuta mumunya Maneno kuwafichua vijaraka wa ccm nakujifanya ni chadema

Cc. Molemi, crashwise, mwita Maranya, Standalone
 

Ulimnyima nini huyu dada mpaka amechanganyikiwa hivi, hebu nijuze kidogo coz sina taarifa zaidi ya kuona dada anaanzisha nyuzi tu kila kukicha
 
Last edited by a moderator:

Umevurugwa na El?
 
Mkuu Rosemary, Freeland, Maranya, Chadema kwanza na wengineo,

Kama ilivyoada tunatakiwa kuheshimiana kwanza ili tuweze kwenda sawa!! Mleta mada (Rosemary) anadai heshima na uhuru wa mawazo yake, -ANASTAHILI HAYO. Lakini pia anatakiwa kuheshimu wengine na uhuru wa mawazo ya wanaompinga!! Wakati mwingine tunashindwa kuelewana lakini kwa mantiki ya heshima na uhuru wa mawazo ya mwingine, tunafikia mahali tunasema "KUKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA" kila mmoja anabaki namsimamo wake!! Maisha yanasonga sio kutishana!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe hata hujistukii...wenzako wa CHADEMA humu wanakukosoa wewe unaona sawa tuuu...Hovyo sana wewe mtu....CDM would be better off without you "Ndio Mzees"

Asante
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
Tulia tuwaingizie dawa
 

Mtu huheshimiwa kutokana na michango yake siyo unaleta utumbo halafu unalazimisha tukuheshimu Kwa lipi? uliwahi kuheshimu mavi...
 

#Freeland
Kati ya watu ambao nawakubari kwa busara niwewe, sinauakika kama wewe ni CHADEMA.
 

Hatuta vumilia chembe chembe zozote za usaliti

Chadema Kwanza
 
Ulimnyima nini huyu dada mpaka amechanganyikiwa hivi, hebu nijuze kidogo coz sina taarifa zaidi ya kuona dada anaanzisha nyuzi tu kila kukicha

Dada anataka hifadhi...hahaha...
 
Wasalimie uendako........ Sisi bado tupo. Hata hivyo karibu kampeni zinaanza. So ccm will ''swalow'' you😎
 
Mkuu Freeland huyu jamaa anayejiita Molemo anashindwa kujitofautisha na wakina Nape Simiyu Yetu na laki si pesa na wajinga wengine wa Lumumba humu JF ni hatari sana kwa ukuaji wa chama kama ataendekezwa nafikiri kwenye ule Uzi wake wakina Nguruvi3 na joka kuu wamempa somo kama hatajisahihisha lazima atimuliwe na yeye
 
Last edited by a moderator:

mi sjakuelewa kabisa. Umekuja kutuambia kuwa wewe ni mwanachama mkongwe au kuna mambo mengine? Ata kama mtu anapitia huu uzi wako anaweza kudhani wewe ni mwanachama mpya hata mwezi hujafikisha ndani ya chama. Kwa hali hii hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 

Mbayu wayu tutawajua tu kwa matendo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…