Rejea kusoma post yangu Mkuu...hakuna mahala nimetoa tuhuma za kuwalaumu watu wa kanda nyingine na kuwafananisha na madafu kama unavyotaka kuwaaminisha wewe... instead nimekemea propaganda za kijinga za CCM zinazoendekeza ukabila na ukanda wakati kaskazini kuna watu wazuri tu wanaoweza kuisaidia nchi hii ikapiga maendeleo ya haraka...kwani wewe ni zao la walioshindwa kuuzwa hata kwa dinari moja enzi za biashara zile za kuuza watu? pole ndugu...
Sawa Mkuu nimekuelewa na kwa bahati nzuri nina uzika rafiki! nina shahada mbili za kuheshimiwa na niko busy kufanya ile ya uzamivu,hata jamaa yangu ni watu wa elimu sana! lakini hainfanyi nidharau makabila mengine kwakuwa si kabila ndiyo limenifanya niwe hivi bali ni Uwezo wa Mungu na nafasi nilyopewa na Nchi yangu kwa maana ya kwamba Watanzania wote wakulima na wafanyakazi uliowaita wana vichwa vya nazi isipokua watu wa kanda yenu hasa kabila lako.
Pole sana rafiki Watanzania wanasoma wote sasa baada ya kupewa room ya kufanya hivyo na kila kona ya nchi ina watu ambao uwezo wao mkubwa walisaidia taifa hili na kutoa mchango kwa dunia yetu.
Sipendi watu wanaodhani makabila yao ni bora kuliko wengine hicho nakiona kama kiwango cha juu sana cha ubanafsi usiyo vumilika.