Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Mkuu tafadhali tupatie reference ya hayo aliyetamka huyo ambae Lissu alisema atatushtaki na "kaja mwenyewe na kasema yeye ndo atatulipa kwa wizi uiofanyika".
 
Leo mnasema Lisu anatetea wezi, Lisu alikuwa akitoa ushauri wa kisheria tu. Wakati ule anapambana juu ya hiyo mikataba mlimzomea, eti leo mnajifanya mashujaa, hovyo kabisa ccm.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa ni ama kasuku, ansoma mabo juu juu akijitia ana akili kumbe he is only half of what he is!!
Mwulize eo MIGA imeishia wapi?
MIGA ni Multilateral Investment Guarantee Agency na ina support Mining Investments.
Lakini MIGA haisupport wizi, kinyume na ambavyo mwanasheria nusu Lissu anavyotaka tuelewe.
 
mkuu wa wezi anaachwa lakini waliotekeleza Amri kutoka juu wanahangaishwa na mahojiano, pasipo mkapa na kikwete kuhojiwa ujue hakuna kitu hapo zitabakia sinema za kuwasahaulisha wananchi juu ya vyeti vya Bashite
Kiukweli mmeshikwa pabaya sana. juzi kati wakati wa makabidhiano ya ripoti ya pili, wenzenu bungeni waliimba wanaimani na hao uliowataja! please, come to your sense!
 

Povu tupu, povu tena la mate, povu, povu, kweli nyumbu nyumbu tu hata akifugwa na kufundishwa atabaki kuwa nyumbu tu
 
Hujamuongelea lowasa kumbuka nae alipitisha mikataba hiyo akiwa Na haohao ccm vilaza, au kipind kile hakuwa kilaza
 
Rudi darasani wewe!!!! ACCASIA ndio mdudu gani?
 
Mpaka atakapo ondoka Magufuli madarakani, sidhani kama tutakuwa tumelipwa chochote. Hii ni miujiza inayopatikana tanzania tu.
 
umuhimu wa chadema sikuuona tena baada ya kuwakubali na kuwakumbatia hawa makapi....lowasa na wenzake sio wana mabadiliko wa kweli..ni wasaka tiketi za urais tu....angekua kweli ni mwanaharakati angeondoka kabla hajakatwa tatizo watu wanaichukia sana ccm mpaka wanashindwa kuwaza nje ya boksi...wanaoishabikia chadema kwa ss wanaongozwa na mihemko ya chuki na matukio na sio akili tena.... ndo maaana nasema mzee slaa ni mtu mmoja ana akili sanaa alipoona hawezi kumeza matapishi yake akaondoka....eti leo lisu na lowassa wanakaa kiti kimoja kabisaaaaaaa na kunadi mabadiliko...babadiliko wameshindwa kuleta wakiwa ccm wataweza chadema?....NI AIBU NDUGU YANGU
 
hii kitu hatoacha mtu salama hata waliokimbia ccm na kuja chadema...ila ni wazi katiba inahitaji marekebisho ili watu kama hawa waweze kushughulikiwa vizuri
 
Sijui kama CCM wote wana fikiria hivi, inatakiwa m focus kwenye kusahihisha makosa yenu ya miaka 20 kuliko kumkoga Lissu.
 
Mleta uzi inaelekea ni mtu wa kijiweni, ungemsikiliza Lowassa mpaka mwisho was alichoongea usinge kurupuka na kusema amepongeza kwa jinsi ulivyoelewa wewe. Lowassa amempongeza Magufuli kwa kukubali madai ya UKAWA kuhusu mikataba mibovu na wizi wa madini. Simama tazama kulia, tazama kushoto na tazama kulia tena anza kuvuka barabara; ukikurupuka utakufa kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…