Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Akilin 0%? Bashite anahusikaje hapo. Na hujalazimishwa kumsahau unaweza kwenda kumtembelea ofisini kwake na leo alikuwa live youtube
 
ni domokaya halafu mbaya sana anajiuza kutumika na adui kwenye hii vita ya kiuchumi.
 
Hama hata Dk hii yaani wewe unahama kisa wizi tokea 1998 umebarikiwa na CCM leo hii magufuli katekeleza kilio cha Wapinzani unahama chama?
Wapinzani walikua wanatishia ooh tutashtakiwa, sasa kama wamepiga kelele miaka mingi na mwaka huu amepatikana mtu wa kutatua hilo kwanini wanakaa kutishia serikali na kuwajaza wananchi hofu? Oooh muda sio mrefu tutapelekwa mahakama za kimataifa tutalipishwa trillions of money.
Hapo ndo nashindwa kumuelewa Lissu maana kama ni wakati wa kufurahi ndio huu kwamba hatimaye serikali imesikiliza michango yake
 
Hii akili si ya nchi hii...
 
mkuu, hakuna tofauti kati ya alichoongea Lissu na Lowasa.

kama ulimsikiliza vizuri Lowasa alitoa a thinly veiled barb kwa Magufuli/CCM. tofauti na Lissu ambaye yeye ana-hit kwenye bull moja kwa moja bila kuremba!
mkuu, hakuna tofauti kati ya alichoongea Lissu na Lowasa.

kama ulimsikiliza vizuri Lowasa alitoa a thinly veiled barb kwa Magufuli/CCM. tofauti na Lissu ambaye yeye ana-hit kwenye bull moja kwa moja bila kuremba!

Jisomee mwenyewe hiyi habari ndani ya Majira leo, na wala usijieleweshe utakavyo wewe.
 
Kamanda umepata wapi habari hiyo?wacha kweka matamanio ya moyo wako kwenye mambo ya kitaifa
 
vipi huko ccm msimamo wa jpm unatofautiana na msimamo wa muhongo, chenge na ngeleja. kafumu. masaju werema naona kama ccm ndo wameparanyika zaidi
 
Hata hamjui Magufuli kabiwa nini mshaanza sherehe humi. Ngoja ayaachie yale makontena ndio mtawajua wazungu.
 
Sisi wajanja toka mwanzo tulijua hakuna kitu hapo, hakuna kesi wala nn Bali lilikuwa swala LA kupata kiki.
Mtu unagombania asilimia 4 ktk mabaki wakati una acha zaidi ya asilimia 96 inaondoka ktk dhahabu hiyo ni akili au matope? Na watu na akili zetu tunasheherekea, aliyeturoga kweli ni ccm
 
Leo mnasema Lisu anatetea wezi, Lisu alikuwa akitoa ushauri wa kisheria tu. Wakati ule anapambana juu ya hiyo mikataba mlimzomea, eti leo mnajifanya mashujaa, hovyo kabisa ccm.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kinachowauma ni hayo majadiliano ya kutengua mikataba? Mlitaka isitenguliwe ili tuendelee kuibiwa hivohivo?
 
Kweli wewe utakuwa ni funza haueleweki hata unachochangia humu ktk jamvi
 
sawa nakuona katika kiwango chako cha juu kabisa cha uelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…