Msimamo wa CAF Champions League na CAF Confederation CUP

Msimamo wa CAF Champions League na CAF Confederation CUP

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,824
Reaction score
24,481
Tupashane msimamo wa kila wiki kwenye mashindano haya japo inaonekana kuwa waarabu wanayatawala sana

CAF Champions League


1763937296245.png

1763937399859.png





CAF Confederation Cup
1763937685561.png

1763937750232.png
 
CAF Champions League
Msimamo baada ya michezo miwili: Timu mbili zina point 6, timu sita zina point 4, timu moja ina point 2, timu nne zina point 1 halafu timu tatu (ikiwemo moja kutoka Tanzania) zina point 0.


1764537267629.png


1764537322777.png


CAF Confederation Cup

Msimamo baada ya michezo miwili: Timu tano zina point 6, timu mbili zina point 4, timu tatu ina point 3, timu mbili zina point 1 halafu timu nne (ikiwemo moja kutoka Tanzania) zina point 0

1764537740783.png

1764537790135.png
 
Kwenye Champions, timu za RS Berkane na Pyramids zimeshajihakikishia kupita. Zile nyingine mbili kenye grupu lao ni wasindikzaji tu. Vile vile timu za Rivers United, Power Dynamos na Simba inabidi ziane kujitayarisha kwa ajili ya mshindano ya mwakani.

Kwenye Confederation, tim za USM Alger, Wydad, Maniema na Al masry wameshajihakikishia kupita. Kwa upande mwingine timu za ZESCO, Nairobi United, Azam na Djoliba nazo zinatakiwa zianze kujitayarisha kwa ajili ya mashindano ya mwakani.
 
Hadi sasa simba anaburuza mkia ni aibu kwa taifa
 
Back
Top Bottom