Msile vyote mtuachiage na sisi

Msile vyote mtuachiage na sisi

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,337
Reaction score
9,079
Wanaume wenzangu msile mazao na mbegu bana sisi watoto wenu tutapanda na kula nini?

Yani sasa hivi hata kama nimekaa tu na washkaji kwa jinsi pisi zinavyoliwa najua tu hata nikioa wataliwa tu alafu wanawake wanapenda mizagamuano yani sijui na bahati mbaya mademu wangunwote wanapenda

Ila mimi ni normal tu nafanya kwa kumiss sio chakula inapelekea kuwa na feelings na pressure

Kinachoniuma ni hawa kaka zetu wanapiga miguu yote vikongwe mpaka watoto sasa sisi tule nini?
Acheni hizo bana
 
Kula unachoweza mkuu. Usitake kucompete 😅😅😅

Na hata kwenye shoo, fanya unavyoweza, usitafutie ushujaa kwenye kifua Cha mtoto wa watu 😅😅
 
hah kwa kunichekesh inabid nikulip 🤣🤣

ngoja niwek tangaz la kutafut shangaz😃
Ukiona ID kongwe, ipo miaka kibao lakini Ina title ya member au senior member, tambua hao ndio wazee kushinda PM wanasumbua dada zetu.

Wao hawana time na kuanzisha threads, Wana projects zao 😅😅😅
 
Back
Top Bottom