Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Aisee, yawezekana kweli. Maana msalaba kama umepachikwa tu hapoHapo itakuwa Anti-balaka walizidiwa wakala kona, Seleka rebels wakamiliki mjengo.
Aisee, yawezekana kweli. Maana msalaba kama umepachikwa tu hapoHapo itakuwa Anti-balaka walizidiwa wakala kona, Seleka rebels wakamiliki mjengo.
Akhaaa! hii tena nini
Sawasawa. Mamsapu hivi pm zangu unaziona true (kweli)?Scotland kuna padri ameruhusu wa-Islam kutumia kanisa Ijumaa kwasababu hawakuwa na sehemu ya kufanyia ibada.
Ahsante sana Kiongozi.Dini zote zina tangaza wema na upendo kwa jamii yote. Tatizo ni wanasiasa wanapo jiingiza na kutia fitina ili maslahi yao yatimie. Ukiangalia matatizo mengi ya kidini yameanzishwa na wanasiasa.
Scotland kuna padri ameruhusu wa-Islam kutumia kanisa Ijumaa kwasababu hawakuwa na sehemu ya kufanyia ibada.
Yah kama huyu padri alisema alipita Ijumaa moja na kuona wa-Islam wanafanya ibada kwenye sehemu ndogo na ilikuwa kipindi cha baridi, alisema kwasababu mahitaji makubwa ya kanisa ni J2 basi Ijumaa walitumie tu.Kuna sehemu nyingine duniani hizi dini zinashirikiana kwenye mengi tu hadi raha. US kanisa la watu weusi lilichomwa moto na Waislamu wakachangisha pesa nyingi ili kulifanyia kanisa matengenezo, pia kuna msikiti ulichomwa moto wakristo wakachanga pesa nyingi kuufanyia matengenezo na wayahudi wakawaruhusu Waislamu watumie jengo lao wanalofanyia ibada mpaka msikiti utakapokuwa tayari kutumika tena.