Msikiti walipuliwa Kuwait na IS

Msikiti walipuliwa Kuwait na IS

Status
Not open for further replies.
ISIS Ni makafiri km wewe Mkuu.
Wanakula Kitimoto na Wanafurahia KUUA waislamu km unavyofurahia wewe.

Hata Yesu pia alifanyiwa uadui na Hao hao Waisraeli ambao wewe unawafagilia kila kukicha lkn kumbuka hata ile dola ya kikafiri ya ROME ilidondoka na zile zingine km Benzatine na Persia zote zimebaki kwenye Vitabu tu.

Leo Uislamu Ni Dini inayokuwa kwa kasi Ya ajabu Duniani. Hasa huko kwenye Chimbuko La MAKAFIRI.
Na Hilo ndio Tishio kwa wachumia tumbo km Nyie.

Mnatambua kuwa UISLAMU ukitawala Hizo Rushwa Na Hongo mnazodhulumu wananchi Zitakuwa ndio mwisho wake.
Na mgambo km wewe bila Rushwa wanao hawajaenda Choo.

Kaa chonjo mgambo.

Brothers are coming soon in your Neighbourhood.

Nani kakuambia unakua?. Wengi ni wahamiaji kutoka dini ya kiislamu wanaokimbilia huko. Pia huwajui wazungu aliyekuzidi akili kakuzidi tu. Umeshawahi ona wakiwa wanatolewa kwenye boti zao mbovu kwa kuokolewa?. Huwa wanawekewa mashine fulani kichwani ka wanahesabiwa hivi. Hapo ndio mambo yanafanyika. Jidanganyeni sasa.
 
Hapa sio jukwaa la mipasho.
Asie na elimu na weledi lzm Abwatuke km wewe.

Soma Historia kidogo utaelewa nini naandika hapa.
Kabla ya MAKAFIRI kuvamia nchi za WAISLAMU haya mambo ya Kuua watu ovyo uliyasikia?

Hao Makafiri wa kigalatia walipoua Viongozi wa Nchi za watu Nini wamepata zaidi ya Kuendelea Kuua Wasio na hatia?

Umeshawahi Kusikia Nchi ya Kiislamu Ikaenda Ripua Mabomu Kwenye nchi za wagalatia na Kutuma Majeshi kwa MA ALFU pamoja Ndege zenye kubeba Tones of Bombs?

Kaulize wenye Elimu kabla ya kuandika utumbo jukwaani.

Dini yenu ilisambaa kwa njia gani vile.... hebu funguka. Full jambia na mapanga. Kanyoe madevu hayo kwanza kisha kuja humu tena ukiwa safi.
 
Juzi tarehe 23 msemaji wa Isis bwana Abu Muhammed Al adnani aliwataka waislam wote Duniani kuufanya mwezi mtukufu wa Ramadhani kua 'Calamity to infidels' na kujiweka karibu na kwenda mbinguni kufaidi mabikra.

Aliwataka waislam wote Duniani kuua wakristo na waislam wa kishia kote duniani na kuwataka wautumie mwezi huu mtukufu kufanya hayo kama ilivyoamriwa na Allah.

Cha ajabu waislam humu wanasema Isis imeanzishwa na marekani na izrael,Isis wenyewe wanasema adui yao namba moja ni marekani na izrael.

Waislam wanadai makundi yote ya kigaidi yameanzishwa na marekani kama taleban,boko haram,alshababu,isis,hezbolah,hamas,alnusra front,alqaida nk. Lakini makundi hayo yanadai adui yao mkubwa ni marekani na izrael.

Mimi sielewi hasa adui wa uislam ni nani, ni marekani na izrael au shetani. Izrael ametajwa kwenye koran kwamba ni adui wa uislam, je marekani katoka wapi?
 
attachment.php
 
Nani kakuambia unakua?. Wengi ni wahamiaji kutoka dini ya kiislamu wanaokimbilia huko. Pia huwajui wazungu aliyekuzidi akili kakuzidi tu. Umeshawahi ona wakiwa wanatolewa kwenye boti zao mbovu kwa kuokolewa?. Huwa wanawekewa mashine fulani kichwani ka wanahesabiwa hivi. Hapo ndio mambo yanafanyika. Jidanganyeni sasa.

Vatikan wanakiri hilo toka 2008, itakuwa wewe?

[h=1]Muslims more numerous than Catholics: Vatican[/h] VATICAN CITY

slam has overtaken Roman Catholicism as the biggest single religious denomination in the world, the Vatican said on Sunday.
Monsignor Vittorio Formenti, who compiled the Vatican's newly-released 2008 yearbook of statistics, said Muslims made up 19.2 percent of the world's population and Catholics 17.4 percent.
"For the first time in history we are no longer at the top: the Muslims have overtaken us," Formenti told Vatican newspaper L'Osservatore Romano in an interview, saying the data referred to 2006.

chanzo: Muslims more numerous than Catholics: Vatican | Reuters
 
HUuuuu mwanzo wa kuwapoteza waislam dunia ya leo soooo mkae mkao wa kula hukuuu uarabuni soon itakua cemetary yard maana hawana maaana bora wafutike woote kabisa

Muujiza wa Uislam, unaupiga vita kwa Waarabu unakuwa kwa Wazungu.
 
Leo kweli nimeamini kuwa kichwa ndio mtu.
Juzi tarehe 23 msemaji wa Isis bwana Abu Muhammed Al adnani aliwataka waislam wote Duniani kuufanya mwezi mtukufu wa Ramadhani kua 'Calamity to infidels' na kujiweka karibu na kwenda mbinguni kufaidi mabikra.

Aliwataka waislam wote Duniani kuua wakristo na waislam wa kishia kote duniani na kuwataka wautumie mwezi huu mtukufu kufanya hayo kama ilivyoamriwa na Allah.

Cha ajabu waislam humu wanasema Isis imeanzishwa na marekani na izrael,Isis wenyewe wanasema adui yao namba moja ni marekani na izrael.

Waislam wanadai makundi yote ya kigaidi yameanzishwa na marekani kama taleban,boko haram,alshababu,isis,hezbolah,hamas,alnusra front,alqaida nk. Lakini makundi hayo yanadai adui yao mkubwa ni marekani na izrael.

Mimi sielewi hasa adui wa uislam ni nani, ni marekani na izrael au shetani. Izrael ametajwa kwenye koran kwamba ni adui wa uislam, je marekani katoka wapi?
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe asilimia mia moja,Nikweli kwa miaka karibu mitatu hivi baada na kabla ya vuguvugu kutimka huko mashariki ya kati kmekuwa na wimbi la wakimbizi waliokuwa wanaelekea nchi za wazungu wengi wamekuwa wakifia baharini lakini wazungu mwishowe wakawaonea huruma sasa hivi nasikia wameamua kuwapokea kwa kuwafuata hukohuko baharini na kuwaokoa na hawa wote ni waislamu hivyo wimbi hilo la wakimbizi wakiendelea kukaa huko ulaya lazima tu Uislamu huko utakuwa maana hata Birthrate yao ni kubwa sana.
Muujiza wa Uislam, unaupiga vita kwa Waarabu unakuwa kwa Wazungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom