Nawafundisha watofautishe kati ya neno Gaidi au Magaidi na neno Dini ni vitu 2 Tofauti hawana elimu. Elimu zao ni fupi kama vile akili zao jinsi zilivyo.Mzizi mkavu nakuomba uwaache Hawa watu... Wanakuchanganyia habari tu hapa
KWANZA ISIS ilianzishwa na mmarekani mahsusi kwa kumtoa Assad,.walivyoshindwa ndio wakakimbilia upande wa Iraq, hiki kitu mmarekani hakufurahi kwani ISIS walihodhi maeneo yote mmarekani alipokuwa akiiba mafuta huko Iraq, ndio mmarekani akaanza vita na ISIS ila tayari alikuwa amewapa silaha za kutosha, mafunzo na pesa, ikabidi aingie na gia hiyo
Wewe unachokizungumza hata hukijuwi unafananisha hao Magaidi Wa ISIS na Waislam wa Tanzania? Wewe unajuwa ni nani aliyeanzisha hiyo Bakwata hapo Tanzania? Hebu nipe jibu?
rhao Al shabaab, na BOKO haram ni Magaidi wanatumia jina la kiislam kwa kisingizio chao cha kufanya mambo wanayo yataka. Hata mimi na wewe tukiwa na pesa tunaweza kuunda kikundi chetu cha Kigaidi na tukatumia jina la Dini ya Kikristo
kuwa ni kikundi cha wanamgambo wa kigaidi wa kikristo kama vile kule Ireland cha jina hili kikundi cha kigaidi cha Wanamgambo wa Kikristo cha Ireland Ulster Protestants in Northern Ireland. Je hao Magaidi wa Ireland ya kaskazini wa Kikristo je tuwafananishe Wakristo wote Duniani ni Magaidi? Kuna Vikundi
vingi vya Magaidi huku ulaya wapo Magaidi wa Ki Giriki na wapo Magaidi ya Ki-Hispanyola wote hao je ni Waislam? Acha upumbavu wa kupiga vita Uislam ni dini na ugaidi sio dini ni imani ya mtu wewe pia unaweza kuwa ni gaidi sio lazima wawe pia Waislam. Amka wewe hebu angalia Makundi ya Kigaidi Duniani Wakristo pia wamo kwenye huo ugaidi.
List of designated terrorist groups
Source.https://en.wikipedia.org/wiki/rr
KWANZA ISIS ilianzishwa na mmarekani mahsusi kwa kumtoa Assad,.walivyoshindwa ndio wakakimbilia upande wa Iraq, hiki kitu mmarekani hakufurahi kwani ISIS walihodhi maeneo yote mmarekani alipokuwa akiiba mafuta huko Iraq, ndio mmarekani akaanza vita na ISIS ila tayari alikuwa amewapa silaha za kutosha, mafunzo na pesa, ikabidi aingie na gia hiyo
Astafilulah maharage siyo mandazi looooo!!!!!!!Msahafu wao ni uleule,Mtume wao ni yuleyule,Ibada zao nizilezile za kiarabu,Muonekano wao ni uleule, Leo sio waislam.sawa ila ni ngumu kumeza,Labda tupewe tofauti yao na waislam
Ni kweli jamaa wanajitahidi kuwasafisha lakini tatizo wanaotaka kuwasafisha hawasafishiki na ni ngumu sana watu kuwaelewa yaani sisi binadamu tuko tayari kusema uongo wa wazi kabisa tena mchana kweupe na kuwafanya wa-Tanzania wote hawajui na hawasikilizi hata hizo radio zao za mbao hawasikilizi yanayoendelea huko mashariki ya kati????yaani mnataka kuwaaminisha watu kuwa ISIS ni wamarekani na Israel???
ISIS Ni makafiri km wewe Mkuu.
Wanakula Kitimoto na Wanafurahia KUUA waislamu km unavyofurahia wewe.
Hata Yesu pia alifanyiwa uadui na Hao hao Waisraeli ambao wewe unawafagilia kila kukicha lkn kumbuka hata ile dola ya kikafiri ya ROME ilidondoka na zile zingine km Benzatine na Persia zote zimebaki kwenye Vitabu tu.
Leo Uislamu Ni Dini inayokuwa kwa kasi Ya ajabu Duniani. Hasa huko kwenye Chimbuko La MAKAFIRI.
Na Hilo ndio Tishio kwa wachumia tumbo km Nyie.
Mnatambua kuwa UISLAMU ukitawala Hizo Rushwa Na Hongo mnazodhulumu wananchi Zitakuwa ndio mwisho wake.
Na mgambo km wewe bila Rushwa wanao hawajaenda Choo.
Kaa chonjo mgambo.
Brothers are coming soon in your Neighbourhood.
kapimwe IQ KAKA. KILA KITU KWENU NI WENGINE WANAFANYA SIO NYIE. USELESS. AKILI FINYU KWELI.WEKENI VICHWA KWA MCHANGA KABISA. FUNGENI MABOMU VIONONI KILA UCHAO HALAFU SEMENI NI ------. BURE KABISAAA, DINI YA AMANI KWELI.
NA HA HUYU M-NORWAY MKRISTO ALIYE WAUWA WAISLAM HUKO KWAO NORYWAY MBAYA ? KWA HIYO WAKRISTO WOTE NI WABAYA DUNIANI?
The Oslo massacre: Norway's anti-Muslim terrorist attack
Anders Behring Breivik was reportedly angry about the rise of multiculturalism in Norway, which led to Friday's deadly double attacks in Oslo. REUTERS/Scanpix Sweden/
July 25, 2011Norwegian Anders Behring Breivik was formally chargedMonday for back-to-back attacks in Norway that killed at least 93 people. Several news outlets had speculated that al Qaeda was behind the Friday bombing of a government building in downtown Oslo and shooting spree at a youth camp on the island of Utoya. But investigators say Breivik, who has confessed to the crimes, is driven not by sympathy for Islamists, but hatred of them. Here, a brief guide to the extremist, anti-Muslim tide that is rising in
Norway and elsewhere in Europe:Who is Anders Behring Breivik?
He's a 32-year-old nationalist angered by the rise of multiculturalism in Norway. In a 1,500-page manifesto posted online under the pseudonym Andrew Berwick hours before the attacks, he vents his rage against "cultural Marxism," Islam, and feminism in Europe. Investigators say Breivik had planned Friday's attacks for years, hoping to use them as a declaration of war against the "Islamization of Western Europe."
Is he just an isolated extremist?
No, Breivik's xenophobia is shared by extreme-right activists and politicians across the region. His anti-Muslim, anti-immigrant manifesto echoes "a sentiment you find in all European countries," said Thomas Hegghammer, of the Norwegian Defense Research Establishment in Oslo,as quoted in The Wall Street Journal. From Sweden to Italy, populist politicians have gained newfound power by lashing out against Muslim immigrants, whom they say cause crime and unemployment while rejecting Western values.
How bad is Norway's immigration problem?
Not bad at all. It welcomes far fewer immigrants than many other European countries. Though the conservative, populist Progress Party, which takes a hard line on any immigration, has doubled its membership in recent years, Norway still doesn't have a mainstream far-right political party, unlike other Scandinavian countries. And thanks in part to its oil wealth Norway has a sovereign wealth fund worth $112,000 per citizen Norway is one of the world's richest countries, with high wages and only 3.4 percent unemployment.
Is Breivik a member of the Progress Party?
He was, until 2007. In his manifesto, Breivik praises the Progress Party as "the only major political party in Norway that has voiced any serious opposition to the madness of Muslim immigration." (Progress Party officials harshly condemned the attacks, calling them "horrible and cowardly.") These days, Breivik says his only allegiance is as a "Justiciar Knight" in a re-founded Knights Templar group, the pan-European "Conservative Revolutionary Movements in Europe."
The manifesto says the group's purpose is to "seize political and military control of Western European countries and implement a cultural conservative political agenda." It advocates attacks against "traitors" the youth camp where the massacre occurred was an annual gathering of young members of the liberal Labor Party. Breivik apparently believes that people with pro-immigrant politics are helping Muslims take over Europe. Breivik's lawyer, Geir Lippestad, says his client has "admitted his guilt to the actual facts," and has called his own actions "atrocious" but "necessary." Lippestad said Breivik was going to explain further in court, but the judge held a closed-door hearing to deny him the public platform he wanted.Sources: ABC News, Christian Science Monitor, CNN, Foreign Policy, Wall St. Journal The Oslo massacre: Norway's anti-Muslim terrorist attack
NA HUYU MCHUNGAJI MKRISTO WA AMERIKA ALIYE TAKA KUCHOMA MOTO QURAN YA WAISLAM JE WAKRISTO WOTE TUMFANANISHE NA HUYU MCHUNGAJI KUWA NI WABAYA KAMA KIONGOZI WA KANISA ANAYE TAKA KUCHOMA MOTO QURAANI?
Pastor Terry Jones arrested ahead of planned Quran burning
Controversial pastor planned to set ablaze thousands of copies of the holy book to mark Sept. 11 anniversary
September 12, 2013 7:11AM ET
![]()
Pastor Terry Jones (L) is handcuffed by Polk County Sheriff's Deputies as he is arrested after being pulled over and found with thousands of Qurans soaked with kerosene in Mulberry, Florida on Wednesday.Michael Wilson/The Lakeland Ledger/Reuters
A Florida pastor was arrested Wednesday as he drove a pickup truck towing a large barbecue-style grill filled with kerosene-soaked Qurans to a park, where the pastor had said he was planning to burn 2,998 of the Muslim holy books one for every victim of the Sept. 11, 2001, terrorist attacks.
Sheriff's deputies in Polk County, Fla., arrested Pastor Terry Jones, 61, and his associate pastor, Marvin Sapp Jr., 44, each on a felony charge of unlawful conveyance of fuel. Jones had said he was heading to a nearby park in Mulberry to burn the Qurans on
Wednesday, the 12th anniversary of the attacks. Sheriff's officials said that Jones was also charged with unlawful open-carry of a firearm, a misdemeanor, and that Sapp faces a charge of having no valid registration for the trailer.
Both were being booked Wednesday night into the Polk County jail, according to Sheriff Grady Judd.
Mulberry's mayor, along with area elected officials, a sheriff's deputy and several Polk County residents have talked about the need to express love and tolerance for all faiths on Sept. 11.
Jones is the pastor of a small evangelical Christian church. He first gained attention in 2010 when he planned to burn a Quran on the anniversary of 9/11, although he eventually called it off. His congregation did burn the Muslim holy book in March 2011 and last
year he promoted an anti-Muslim film. All three incidents sparked violence in the Middle East and Afghanistan.
The most violent protest happened after the 2011 Quran burning as hundreds of protesters stormed a United Nations compound in Mazar-i-Sharif in northern Afghanistan, killing seven foreigners, including four Nepalese guards.
Jones has repeatedly ignored pleas from the U.S. military asking him not to stage his protests. Military officials say his actions put American and Western troops in Afghanistan and elsewhere in danger.
Mulberry is a town of about 3,000 between Orlando and Tampa and has no connection to Jones' church, which recently moved out of its Gainesville building.
Just last week, a federal judge in Michigan issued a summary judgment in favor of Jones and his organization, Stand Up America Now, against the city of Dearborn for requiring Jones and his organization to sign a city-issued agreement in order to speak on public property in front of a Dearborn mosque in 2012.
Earlier Wednesday, about 75 people gathered In Mulberry for an interfaith prayer service to counter Jones' actions.
Mike Ghouse, who has organized a 9/11 prayer service in his home state of Texas for nine years, brought his event to Mulberry because of Jones' planned Quran burning. He initially had planned to hold the service in Texas but teamed up with a group of Mulberry residents who had organized an anti-Jones Facebook page.
"Everyone has a right to believe what they believe," said Ghouse, adding that it was Jones' right as an American to express himself. Others said that while Jones was free to say or do whatever he wanted, the people of Mulberry didn't want the world to think that the residents condone or agree with Jones' views.
Polk County resident Butch Rahman said: "We don't buy what Jones is selling."
The Associated Press
Pastor Terry Jones arrested ahead of planned Quran burning | Al Jazeera America
KWA KOSA NA MTU MMOJA KUJIITA MUISLAM AU KUJIITA MKRISTO USISEME WAISLAM WOTE AU WAKRISTO WOTE DUNIANI NI
WABAYA ACHENI CHUKI ZENU ZA UDINI HUO.? USITAFUTE KOSA LA MTU MMOJA AU KUNDI MOJA UKAWATIA WATU WOTE AU
WAUMINI WOTE NI WABAYA ACHENI CHUKI Z AKIJINGA HIZO. JE HUYU MCHUNGAJI ALIYETAKA KUCHOMA MOTO QURAN INA
MAAN KAWAKILISHA WAKRISTO WA DUNIA NZIMA KUWA NI WABAYA KWA MAKOSA YAKE YEYE MWENYEWE? ACHA
UPUMBAVU HUO WA IMANI KUWA CHUKIA WATU WASIO KUWA NA HATIA.
Uislamu unachekesha sana kwakweli
Kirefu cha ISIS ni [TABLE="class: table tdata, width: 633"]
[TR]
[TD="class: tal tm"]ISIS[/TD]
[TD="class: tal dx"]Israeli Secret Intelligence Service[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KWANZA ISIS ilianzishwa na mmarekani mahsusi kwa kumtoa Assad,.walivyoshindwa ndio wakakimbilia upande wa Iraq, hiki kitu mmarekani hakufurahi kwani ISIS walihodhi maeneo yote mmarekani alipokuwa akiiba mafuta huko Iraq, ndio mmarekani akaanza vita na ISIS ila tayari alikuwa amewapa silaha za kutosha, mafunzo na pesa, ikabidi aingie na gia hiyo
Na Ile imani ya Ndoa za jinsia moja Inaudhi kweli.