Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Astafilulah maharage siyo mandazi looooo!!!!!!!Msahafu wao ni uleule,Mtume wao ni yuleyule,Ibada zao nizilezile za kiarabu,Muonekano wao ni uleule, Leo sio waislam.sawa ila ni ngumu kumeza,Labda tupewe tofauti yao na waislam
Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.