Msikiti walipuliwa Kuwait na IS

Msikiti walipuliwa Kuwait na IS

Status
Not open for further replies.

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,376
Reaction score
3,976

Attachments

  • 1435320362579.jpg
    1435320362579.jpg
    12.7 KB · Views: 800
  • 1435320374311.jpg
    1435320374311.jpg
    10.3 KB · Views: 777
Utawasiki wamechonganishwa maana wao ni wamoja
Hii kweli dini ya Amani
 
Watamalizana tu hawa watu, isis ndio habari ya mjini kwa sasa, kila siku inachinja wafuasi wa makundi ya hamas,hezbolah,taleban nk. Isis itawamaliza.
 
pole yao , sasa kwanini wanauwana wao kwa wao...? au ndio kunena kwa lugha kumeanza? Tena huu mwezi mtukufu?
kuwait-mosque.jpg
kuwait-mosque-3.jpg
kuwait-mosque-2.jpg
 
Walipuane tu maana tumechoka sasa
Waamie na kule makha
 
MeinKempf

kahtaan Njoo huku babu zako wanauana ovyo wanadai eti hayo mabomu wamepewa na mmarekani na huyo huyo mmarekani amewachonganisha na ndiyo maana wameamua bora wamalizane maana wamepata silaha,cha ajabu wame-mwagana damu ndani ya nyumba ya Ibada,Nimejaribu kuwaulizia zaidi kuwa si ninyi mtume wenu mmoja wakakubali nikawauliza tena sasa kwa nini mmeamua kuuana wakajibu ni Mmarekani katupa silaha na ametuchonganisa,sasa nakuomba wewe kahtaan Yusomwasha mje muwaamue watamalizana.
 
Last edited by a moderator:
Katika hali ya kushangaza waislam wa Shia waliokua katika swala ya ijumaa,msikiti wao umepigwa bomu na magaidi wa IS.Angalau watu watatu wafa na wengine wengi kujeruhiwa.

Ona sasa wanamalizana wenyewe jamani Muhammad si yuleyule tu au tatizo nini??

Source:
Kuwait mosque explosion: Possible Isis bomb attack launched on Shia Muslims during Ramadan Friday prayers - Middle East - World - The Independent

Utawasiki wamechonganishwa maana wao ni wamoja
Hii kweli dini ya Amani

Watamalizana tu hawa watu, isis ndio habari ya mjini kwa sasa, kila siku inachinja wafuasi wa makundi ya hamas,hezbolah,taleban nk. Isis itawamaliza.
Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.
 
Wewe unasema nini?. Mbona hata hapa bongo mnatifuana?. Ugomvi uliopo bakwata unatokana na nini?. Pia kuna wale wanaovaa suruari fupi na kujisaidia haja ndogo wakiwa wamechuchumaa pia wanaovaa suruali ndefu pia wafugao ndevu na wasiofuga. Hapo inakuwaje?. Mlipuane tu maana tumechoka sasa.
 
Ngojea waje huko kukulipua wewew na familia yako ndipo utakapo juwa ubaya wa Magaidi ukoje waulize Kenya yaliyo wapata kwa magaidi ya Kisomali kisha ndipo utakapo juwa Magaidi ni watu wabaya sana Duniani.
 
Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.

Mkuu, naomba kirefu cha neno ISIS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom