Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Mkuu nikweli??
Nipo hapa eneo la tukio, juhudi zinaendelea kuuzima moto...
Duh, juzi tu?? Na leo tena?
Nguruwe kaingia Msikitini!Kutakuwa na namna, si bure!...
Nguruwe kaingia Msikitini!
Mi nadhani yupo mtu kabisa paleKama sio mkono wa mtu basi kuna mguu wa mtu...si bure
Wanahujumiana hao ka si visasi
Duh, juzi tu?? Na leo tena?