Msikiti Dodoma waungua

watakuwa wamechoma wenyewe ili wapewe misaada toka oman
 
Poleni ndugu zangu waislam kwa KUUNGUA NYUMBA YA IBADA
 




cc Nyakageni Msikiti ndio huo, zamani ukiitwa Msikiti wa Manyema Enzi ya kina Mzee Ujiji, wakaingia Ismail wa Victory, sasa Answar Sunna moto umezimishwa zikiwemo Fire zaidi ya 4 chanzo ni umeme mengine ni fununufununu
 
Wewe kweli Dr.

Kashangae wenye honorary degree(PhD) wanaojiita Dr.
Tatizo nini?. Mlipokuwa mnasema CHADEMA wanajilipua kwa mabomu, mlikuwa mnafikiri 'out-come' yake itakuwaje?. Leo tumefikishwa hapa hata msikiti ukiungua 'logic' ni kuwa wenye msikiti wamejiunguza. Acha undumila kuwili. Kama mliamini hivyo kwa cdm kwanini msiamini hivyo kwa wengine?. Muache kusema cdm wanajilipua,muache kusema wakristo tunachoma makanisa hili tuibe sadaka!Pamoja na yote. Nawapa pole waislam wote kwa kuungua msikiti.
 
Waislamu ni wasomi,hawabuni,wakasema labda ni watu fulani ndio wamechoma,wao ni waelewa,na ni watu wasiopenda kuwazushia wengine kama wamefanya jambo fulani bila ya kuwa na uhakika.

umesema vyema
 
waislamu hajashutumu ni kina nani wanahusika,wengine wanashutumu kuhusika kwa watu fulani bila ya kuwa na uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…