Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
Msikiti mkubwa wa barabara ya saba Dodoma hivi sasa unaungua moto. Imetokea mapema baada ya ibada ya Ijumaa na umeanzia ghorofa ya juu.
Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha.
Poleni ndugu zetu waislam.
Source: Magic F. M.
Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha.
Poleni ndugu zetu waislam.
Source: Magic F. M.