Msikilizeni Zitto Star TV

Siwezi kumsikiliza Zitto,nimemshusha thamani tangu siku ile ya ripoti yake ya escrow iliyolenga kuwalinda wezi halisi wa escrow na kuwachafua wengine wasiohusika.hana cha maana cha kujadili nikamsikiliza huyu mnafiki mlinda mafisadi.
 
MAHORO
acha kujiweka vumbi machoni badala ya Dawa.
Sio busara kwako kujigeuza akili na kujigeuza kupinga pinga tu.
 
Anajipigia pasi mwenyewe, geshi ra mtu mmoja. Dogo anapenda attention huyu.
Yupo online ..na waandishi vilaza, wachangiaji vilaza,..kuna sehemu alianza stumble kutaka iba ktk mtiahaji jibu ambalo hakuwa na muda wa kukariri cha kusema.....kajaribu sema kuhusu currencie nyingine ila majibu yake..yakawa hayatoki kwani kaongelea wafadhili na escrow...akashindwa unganisha km hizo dili zilihusu dollar imekuwa kwa hela nyingine..?
 
MAHORO
acha kujiweka vumbi machoni badala ya Dawa.
Sio busara kwako kujigeuza akili na kujigeuza kupinga pinga tu.

Huoni aibu kuwa msukule wa msaliti?? Chama chenu kinaendeshwa na mtu mmoja kama Basi!!?? Ninyi mmekalia kupiga piga kelele mwenzenu anapiga ela kutoka CCM!! MTAJITAMBUA LINI NYINYI??
 
waandishi wa star tv vilaza...wao ni kurembua tuu...jamaa anawalazimisha wasubiri ,au waongeze muda..haalfu wanamsubiri awaongoze?
 
Labda wa Mwandiga.
haha...ukimuuliza hata wakongo wanaonunua kuliko sisi,wazambia wanaonunua zaidi kwetu..bado hela zao zimepanda...wote haow ananunua vitu vya kichina kwa wingi sana....na congo wanatumia dolla..
 
akiongea startv asubuhi amesema wataanza kusambaza uzalendo wiki ijayo kwa kufanya ziara kupita mikoa 14.

Zitto Z Kabwe
Ndg Mwanachama na rafiki wa ACT Wazalendo,
tunaanza awamu ya pili ya ziara ya
kutambulisha chama chetu na kuhamasisha
wananchi kujiandikisha kwenye daftari la
kudumu la kupiga kura. Ili kufanikisha ziara hii
tunahitaji fedha kununua mafuta, kukodisha
magari na kujikimu. Tunaomba mchango wako
wa tshs 10,000 tu. Tuma mchango wako
kwenye namba 0763463740 (ACT POLITICAL)
au 0715784670 (ACT TANZANIA) au NMB A/C
NO. 22610004083 ACT-TANZANIA.
 
hii habari mbaya sana kwa bavicha na ufipani,wataondoka tena wote pale ufipani asalaleh

Watanzania wamekuwa werevu mno miaka hii. Tapeli anajulikana mapema kabla jua halijachomoza.
Zitto na utapeli wake hataweza kutapeli watanzania
 

Sina huo muda
 
Last edited by a moderator:

Hakuna mtu wa kumsikiliza msaliti na mpenda madaraka kama zzk
 
Last edited by a moderator:
Tupo Ibadani
 
Last edited by a moderator:
Kumwita ayaaatolaah nimekula ban ndiyo natoka!

Mkuu hata mimi nilikula ban kwa jambo hilo na sijui zzk ana mahusiano gani yaliyo nyuma ya pazia na jf management
 
ukishathubutu kufanya hili /// KUIFUTA DHAMBI HII katika UMMA wa WATANZANIA NI /// VIGUMU SANA SANA ///YAANI UHARIBU NA KUHUJUMU HARAKATI ZOTE ZA MIAKA 15 /// KWA KITU KIDOGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…