Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,566
Majambazi wa Serikali wana roho ngumu sana. Nilishangaa kwamba mkuu wa majambazi wa Serikali alipata ujasiri wa kushiriki misa takatifu!Linganisha Alichokisema Lukuvi na Alichokisema huyo Askofu
Watanzania tunaonwa ni mapoyoyo sana.
Naona wanaendelea kupiga kwenye mshono. Asante baba askofu.Linganisha Alichokisema Lukuvi na Alichokisema huyo Askofu
Watanzania tunaonwa ni mapoyoyo sana.