Msikilize huyu Colonel wa Urusi naamini utapata kitu

Msikilize huyu Colonel wa Urusi naamini utapata kitu

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
703
Reaction score
768
AMEULIZWA:
How do you evaluate coronavirus?
………

AKAJIBU:
I look at it from military and strategic points of view.

I don’t look at it as a healthcare or epidemiological concern etc.

Coronavirus is falsely labeled an “pandemic.”

It has to be evaluated from global power perspective.

Religious, political, financial, economical and national forces.

So called pandemic “coronavirus” is not a a pandemic at all. All lies.

It is global operation by global elites

It is global, strategic, special operation by global elites.

It is a global military exercise to completely enslave humanity.

We have little faith in God, but even less we believe that Satan exisis, the enemy of humanity. So the shadow, Zionis, financial elite has a goal of reducing global population.

They think there are too many of us. They should make up 100 million, while 1 billion at most will be their slaves. Then they will live like kings.

After corona, financial crisis will follow.
..........
Amini usiamini, dunia inaswagwa kuelekea mahali fulani.
Ikishafika hapo, makomeo yatafungwa na wakubwa wa dunia na hutaweza kufurukuta.
 
Wanajaribu sana lakini sio wote wanakubaliana nao
Hawatafanikiwa kwa asilimia zote
Dunia hii wameikuta na wataiacha kama walivyoiacha watangulizi wao

Na sisi tutaiacha sio kwa matakwa yao bali mzunguko wa maisha na uhalisia
Live your life to the Fullest
 
issue siyo kwamba wanachofanya hawajui kama watakufa,issue ni kwamba wanarithishana kizazi mpka kizazi juu ya kuoukutisha watu duniani hivyo hao wanaofanya hayo ni vitukuu vya wazee walokufa miaka hyo
 
Siku zote linapotokea janga kubwa conspiracy theories (nadharia njama) huwa nyingi sana.

Hata UKIMWI ulovyoanza zilikuwepo nyingi ila ndo hivyo mpaka leo upo
 
Tuombe Mungu iwe hivyo.
 
issue siyo kwamba wanachofanya hawajui kama watakufa,issue ni kwamba wanarithishana kizazi mpka kizazi juu ya kuoukutisha watu duniani hivyo hao wanaofanya hayo ni vitukuu vya wazee walokufa miaka hyo

Ila utashangaa watu wanazidi kuzaliana tu pamoja na matukio ya kila aina na vifo
Wao wazungu wana majanga ya kila mwezi wamalizane tu wao
Kama wanasema mtu wa kwanza alikuwa black basi naomba na wa mwisho awe black
Maana kuna watu wako maporini hawajui kinachoendelea mijini
 
mungu wa hii Dunia ni shetani na hao majamaa watafanikiwa ajenda Yao. Ila watoto wa Mungu Aliowachagua toka Mwanzo Mungu Mfalme wa Wafalme Atawaokoa. Tuombe Mungu tuwe Wachaguliwa Wake ila kama si Wateule wake hata tufanyaje hatutoboi.
 
Na mijitu inazidi kumpinga Gwajima. Maombi kwa Mungu ndo suluhisho sio chanjo feki hizo. Amina.
 
Siku zote linapotokea janga kubwa conspiracy theories (nadharia njama) huwa nyingi sana.

Hata UKIMWI ulovyoanza zilikuwepo nyingi ila ndo hivyo mpaka leo upo
Hata ukimwi walisema imetengenezwa kwenye maabara za wamarekani halafu ukafanyiwa majaribio kwa wafungwa.
( Sorry for late comment )
 
Hata ukimwi walisema imetengenezwa kwenye maabara za wamarekani halafu ukafanyiwa majaribio kwa wafungwa.
( Sorry for late comment )
Na unadhani kuwa hiyo ni conspiracy theory mkuu?
 
Back
Top Bottom