msikilize huyu chizi mjini?

msikilize huyu chizi mjini?

pera

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
148
Reaction score
16
kichaa anakuna macho huku kavaa miwani, mwenye akili akamwambia si uvue miwani ndio ukune macho vizuri kichaa akamjibu mbona ukikuna ****** huvui chupi'
 
kichaa anakuna macho huku kavaa miwani, mwenye akili akamwambia si uvue miwani ndio ukune macho vizuri kichaa akamjibu mbona ukikuna ****** huvui chupi'
Huyo si kichaa, kesha pona!
 
Du! Huyo kichaa chake bado hakijakomaa, akili fulani bado ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom