Yaani mtu Ana miaka 64 unasema ametumbuliwa? Kufanya kwake kazi vyema kulimfanya Mh. Rais amuache na hakuruhusiwa kustaafu. Siku hizi ukifikisha tu miezi 3 kabla ya 60 yrs unakumbushwa kustaafu na hakuna kupitiliza. Mwanri aliruhusiwa kuendelea. Kabla hamjaandika nambo mengine ni bora mtu awe na data kabisa. Mwenzio amezaliwa 1956.Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.
Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.
Kuanzia Miaka 55(Hiari) mpaka 60 ila mmalaka ya uteuzi inaweza kukuongezea muda
Haswaaaaa..atulie tu bcJamaa ni timu Membe ndio maana kaondolewa na si kustaafu kama taarifa ilivyosemwa sababu yeye ana 65 na aliemrithi ana 69. Asijiloge akaingia kwenye mchakato wa Ubunge heri hizo hela awekeze.
Kwahiyo hajatumbuliwa?? Jiongeze weyeYaani mtu Ana miaka 64 unasema ametumbuliwa? Kufanya kwake kazi vyema kulimfanya Mh. Rais amuache na hakuruhusiwa kustaafu. Siku hizi ukifikisha tu miezi 3 kabla ya 60 yrs unakumbushwa kustaafu na hakuna kupitiliza. Mwanri aliruhusiwa kuendelea. Kabla hamjaandika nambo mengine ni bora mtu awe na data kabisa. Mwenzio amezaliwa 1956.
Kuanzia Miaka 55(Hiari) mpaka 60 ila mmalaka ya uteuzi inaweza kukuongezea muda
Mkuchika ni mbunge na mbunge hana limit hapo ndo ubovu wa katiba yetuDaah ingekua hivyo mkuchika sijui angekua wapi leo(katumikia tangu enzi za Nyerere mpk leo).
Midhali tumeshaambiwa kanisa ndo linatunza amani ya nchi nani awezae kupinga kisemwacho madhabahuni?Huyu ni moja ya Wazee / Viumbe Wakweli mno.
Unabisha?
Kafute yale mawe ya Mwigulu kwanza. View attachment 1498603
Unaona raha gani kuongea uongo?Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.
Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.
Aliyeteuliwa kuchukua nafas yake ni mkubwa kiumri kuliko Mwanri...nayo unatuambiajeUnaona raha gani kuongea uongo?
Kutumbuliwa kiutuzima ni kupi huko?
Cv ya Mwanri ipo wazi,mwaka wake wa kustaafu tayari
Hadhani hakuna umri sahihi kwasababu Mwamri "amestaafu" akiwa na 65 lakini aliyemrithi ana umri mkubwa kuliko Mwanri.Naomba kufahamu umri wa kustaafu wa wakuu wa Mikoa kisheria
Aliomba kustaafu muda tu. Uliza kwa wsnaomjua huyu ni waziri wa baraza lijalo.Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.
Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.
Ndio huyu huyu Mungu hadhihakiwiDuh...huyu si ndo alisema mungu amshukuru stone
Kustaafu sio lazima kwa umri unaweza kustaafu kutokana na afyaManyumbu bhana mnaambiwa kastaafu mnalazimisha unyumbu
Huyu atakuwa ameahidiwa uwaziri!Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.
Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.
Mlifanikiwa kuwa kama TORONTOUbarikiwe baba ,tutakumiss mzee mwanri kwa kweli.Ulifanya makubwa Tabora.Kila la heri kwenye ustaafu wako.
Amestaafu na miaka 64?Manyumbu bhana mnaambiwa kastaafu mnalazimisha unyumbu