Kichaa anataka Hamas wa surrendering their weapons, hivi huyu kichaa amesahau ujinga huo ulisha pitwa na wakati. Kwani asiseme Israel wafanye vile na wao ndio wanauwa watoto wasio na hatia na kubomoa majumba, wanaume wanappigana jeshi kwa jeshi. Huyu kichaa kweli kweli anadhani yeye ataweza kuwashinda Hamas wakati bibi yao Israel kashindwa vile.