Msikie Kenyatta tena, amekuwa haishi vituko

Simpendi Raila kwa kuwa na mahusiano na mtu yule. Sasa tunafanyaje, Kennyta ameshakuwa hovyo kabisa. Wakenya wakataeni wote mpe mwingine yeyote, hata "mbwa" anaweza akawa bora kuliko hao wawili
Ingekuwa vzri mno mkuu, ila kuwatoa hao watu kwenye system ni ngumu
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema mpinzani wake katika uchaguzi mkuu mpya utakaofanyika mwezi ujao akifanikiwa kushinda chama chake kitamuondoa madarakani muda mfupi baadaye kupitia bunge.

"Leo hii katika Bunge, tukiwa na wabunge zaidi ya mia mbili na ishirini na kitu, tumepungukiwa na wabunge 13 pekee tuwe na wingi wa theluthi mbili, hii ina maana kwamba tunaweza hata kubadilisha katiba bila kuwa na mbunge wa NASA." "Atafanya nini, hata mkimpatia kura zote, atafanya nini? Anaweza kufanya nini? Hata akichaguliwa, tuna fursa na Bunge, katika kipindi cha miezi miwili mitatu hivi, tumemtoa."

Aidha leo katika ufunguzi wa Bunge, Majaji wa mahakama kuu pamoja na wabunge wa chama cha upinzani cha Nasa walisusia sherehe ya ufunguzi kwa sababu ambazo inasemekana kwa hao majaji ni vitisho ambavyo amekuwa akiwatolea tangu watengue urais wake.



BBC


My take;- unaweza ukamtoa kwa njama za wabunge wako na chuki zako, ngoma ikarudi kwa wananchi wakamrudisha tena, hiyo si kuipa nchi hasara?
Usiohope kenyatta n mwana diplomasia anaongea lugha y kidiplomasia. Anamtisha 2 raila c mambo y kampen hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom